Alichojibu Mandonga baada ya kupigwa

kuna kitu kizuri nakiona kwa mandonga. wakati utaongea.

kwa sasa tunamcheka na kumdhihaki kwa vipigo vya KO anavyochezea.

Mungu atakuja kumfuta machozi soon nje ya boxing.
Kweli Mkuu utabiri umetimia.
 
Sasa alivyokua anajinadi mtaani na kina nyumbi bombi wakampatia hadi jeep auze nalo sura akatangaza hadharani mpinzani wake aje na jeneza lake ebwaneee kilichotokea sasa unaambiwa mpaka muda huu Mandonga anatema meno badala ya mate huko

Hivi alipewa lile Jeep la Ngonyani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…