Alichokiandika Naibu Waziri Kigwangalla kuhusu perfume ya Diamond

unaacha kuongelea madawa hospitali unaongelea marashi ya sh laki moja,
we nyumbani kwenu kuna matatizo mangapi lakini huyaongelei kila SAA? hata kigwangalla ana nafasi ya kutoa maoni nje ya wizara yake!! msimlazimishe kila mda azungumzie madawa na wajawazito kila kitu kina utaratibu wake.
 
Huyu nae anateswa na kutumia jina la watu mana Kingwangala halisi asingekuwa mdananda kama yeye ila kwa vile yeye ni Said Bagaile sishangai wizara kumshinda
 
kigwangala anatuonesha kuwa kazi za naibu waziri ni chache sanaa
 
There oughta be laws agains public servants openly endorsing businesses like this.

Kelly-Anne Conway got into trouble for endorsing Ivanka Trump's brand.
 
hivi nje ya box ya kigwa ni ipi au ameamua kutumia huo msemo bila kujua
 
haujui kama Kigwa ni binadamu kama binadamu wengine..?
Au we ulitaka aandike vip ili ujue kwa resource alizo nazo anafanya kazi..?
 
Mama zetu wanajifungulia chini hamna vitanda,dawa hamna, badala ya kuhangaika na changamoto izi kazi kushinda insta na wakina mange shenzi kabisa kigwa
 
Mama zetu wanajifungulia chini hamna vitanda,dawa hamna, badala ya kuhangaika na changamoto izi kazi kushinda insta na wakina mange shenzi kabisa kigwa
Mkuu inamaana ukiwa naibu waziri huna mawazo tofauti na mambo ya afya?

wakati mwingine tuwape fursa ya kuongea na wao bhnaa...
maisha yenyewe haya mafupi mno acha atoe mawazo yake

hv CHIBU anakiwanda hapa tz au anatengenezewa kisha wanabandika CHIBU....[emoji23] [emoji23]
 
Ili ubaki kwenye mioyo ya wengi anzisha huduma za kijamii pia km hosptal na shule hakika kina mama hawatakusahau na utafanikiwa zaid na zaid
 
Haiwezi kuwa ya diamond peke yake ameshare na kusaga na gsm
Hahahaha haters munakazi sana!!mulianza kusema Wasafi ni ya Ruge,mukaja mukasema Wasafi.com ni wakusaga,mukaja mukasema hata Zari bado ni mpenzi wa Ivan,tena mukakazia kwamba hata Tiffah na Nillan ni watoto wa Ivan.
hamkutosheka!mukasema hata nyumba ya South Africa amepanga,mulivyoona anabadilisha ile nyumba ameibomoabomoa kule ndani akajenga upya mukasema Ile nyumba amenunuliwa na GSM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hivi munasema hata Mafuta sio yake!![emoji23][emoji23]
Sasa diamond anamiliki nini?!na wakati huohuo utajiri wake umefikia dollar million 9(kwa ripoti ya mwaka juzi 2015)kwasasa anakadiliwa kufikia usd11mill.
 
Hivi hiyo pafyum ni zinanukia tofauti au harufu moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…