Alichokiandika Naibu Waziri Kigwangalla kuhusu perfume ya Diamond

Ina maana kila mtu atanukia harufu inayofanana
i think alitakiwa awe na brand yenye scent tofauti tofauti ili kuepusha mfanano wa harufu, wengine tunapenda kuwa unique ikija kwenye swala la harufu
 
Hahahaha haters munakazi sana!!mulianza kusema Wasafi ni ya Ruge,mukaja mukasema Wasafi.com ni wakusaga,mukaja mukasema hata Zari bado ni mpenzi wa Ivan,tena mukakazia kwamba hata Tiffah na Nillan ni watoto wa Ivan.
hamkutosheka!mukasema hata nyumba ya South Africa amepanga,mulivyoona anabadilisha ile nyumba ameibomoabomoa kule ndani akajenga upya mukasema Ile nyumba amenunuliwa na GSM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hivi munasema hata Mafuta sio yake!![emoji23][emoji23]
Sasa diamond anamiliki nini?!na wakati huohuo utajiri wake umefikia dollar million 9(kwa ripoti ya mwaka juzi 2015)kwasasa anakadiliwa kufikia usd11mill.
Mie nina inside information, hio deal ni ya kusaga diamond anapokea loyalty tu kwa jina lake kutumika
 
Hahahaha haters munakazi sana!!mulianza kusema Wasafi ni ya Ruge,mukaja mukasema Wasafi.com ni wakusaga,mukaja mukasema hata Zari bado ni mpenzi wa Ivan,tena mukakazia kwamba hata Tiffah na Nillan ni watoto wa Ivan.
hamkutosheka!mukasema hata nyumba ya South Africa amepanga,mulivyoona anabadilisha ile nyumba ameibomoabomoa kule ndani akajenga upya mukasema Ile nyumba amenunuliwa na GSM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hivi munasema hata Mafuta sio yake!![emoji23][emoji23]
Sasa diamond anamiliki nini?!na wakati huohuo utajiri wake umefikia dollar million 9(kwa ripoti ya mwaka juzi 2015)kwasasa anakadiliwa kufikia usd11mill.
Mkuu jaribu kupunguza matumizi U maana ni nyingi sana
Mukasema
Munakazi
Mulianza
Mukaja
Mulianza nk
 
Ndio kiswahili fasaha,labda kama wewe ni mchafuzi wa lugha,hakuna neno Mkasema,Mkaja,Mkaanza katika kiswahili hasa kwenye matumizi ya Uwingi--Mu=enye uwingi

Rudi darasani
 
Back
Top Bottom