Alichokiandika Naibu Waziri Kigwangalla kuhusu perfume ya Diamond

Wema kachukua katoni nzima.


By the way,vipafyumu vyenyewe ni vimeisha mda wake huko ulaya anavibandika nembo yake basi anauza.
 
Akiisifia wolper basi ni nzuri,bado nasubiri
 
kweli huyu kigwangwala ni jipu kuliko bashite.......yeye anashinda kwenye mitandao na wasanii wakati wizara yake inazidi kudorora kila siku......hizi ni kiki za kijinga wakina mama wanalala chini mawodini ,hospitali hazina dawa,yeye anahangaika mara na mashoga,dr.mwaka ina tija gani kwa watanzania?Wenzake wa Kenya na Malawi wapo kwenye harakati za kupatiwa chanjo ya malaria kigwangwala anahangaika na perfume ya diamond.....who is diamond?
huu ni upuuzi tu
 
me sijaelewa hapo kidogo, diamond ni ananunua perfume na kubrand jina lake au anakiwanda kinatengeneza perfume zake na kuzipa jina la chibu?
 
Mondi toka na mchongo Diamond pampers mtumie huyo dogo wako..ukitaka proposal pm unachukua funds benki yoyote ila nataka share na ukitumia hii idea nakusue..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…