Pung'o boy
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 685
- 305
Deal ni ya Kusaga diamond anachukua loyalty tu. Kwa jina lake kutumikaLakini hii perfume ni ya Diamond?
mbona niliwahi sikia deal ni ya Kusaga?
i think alitakiwa awe na brand yenye scent tofauti tofauti ili kuepusha mfanano wa harufu, wengine tunapenda kuwa unique ikija kwenye swala la harufuIna maana kila mtu atanukia harufu inayofanana
Mie nina inside information, hio deal ni ya kusaga diamond anapokea loyalty tu kwa jina lake kutumikaHahahaha haters munakazi sana!!mulianza kusema Wasafi ni ya Ruge,mukaja mukasema Wasafi.com ni wakusaga,mukaja mukasema hata Zari bado ni mpenzi wa Ivan,tena mukakazia kwamba hata Tiffah na Nillan ni watoto wa Ivan.
hamkutosheka!mukasema hata nyumba ya South Africa amepanga,mulivyoona anabadilisha ile nyumba ameibomoabomoa kule ndani akajenga upya mukasema Ile nyumba amenunuliwa na GSM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi munasema hata Mafuta sio yake!![emoji23][emoji23]
Sasa diamond anamiliki nini?!na wakati huohuo utajiri wake umefikia dollar million 9(kwa ripoti ya mwaka juzi 2015)kwasasa anakadiliwa kufikia usd11mill.
Umekua gwajima sasaHuyu nae anateswa na kutumia jina la watu mana Kingwangala halisi asingekuwa mdananda kama yeye ila kwa vile yeye ni Said Bagaile sishangai wizara kumshinda
Mkuu jaribu kupunguza matumizi U maana ni nyingi sanaHahahaha haters munakazi sana!!mulianza kusema Wasafi ni ya Ruge,mukaja mukasema Wasafi.com ni wakusaga,mukaja mukasema hata Zari bado ni mpenzi wa Ivan,tena mukakazia kwamba hata Tiffah na Nillan ni watoto wa Ivan.
hamkutosheka!mukasema hata nyumba ya South Africa amepanga,mulivyoona anabadilisha ile nyumba ameibomoabomoa kule ndani akajenga upya mukasema Ile nyumba amenunuliwa na GSM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi munasema hata Mafuta sio yake!![emoji23][emoji23]
Sasa diamond anamiliki nini?!na wakati huohuo utajiri wake umefikia dollar million 9(kwa ripoti ya mwaka juzi 2015)kwasasa anakadiliwa kufikia usd11mill.
Huenda ni ya bashite au GSM.Lakini hii perfume ni ya Diamond?
mbona niliwahi sikia deal ni ya Kusaga?
Ahahahaaaaaaaa Mkuu umenichekesha sanahaya sasa kazi kwake Wolper ajipulizie mwili mzima.
Ndio kiswahili fasaha,labda kama wewe ni mchafuzi wa lugha,hakuna neno Mkasema,Mkaja,Mkaanza katika kiswahili hasa kwenye matumizi ya Uwingi--Mu=enye uwingiMkuu jaribu kupunguza matumizi U maana ni nyingi sana
Mukasema
Munakazi
Mulianza
Mukaja
Mulianza nk