Edson Carrington
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 216
- 636
Hakuna haja ya kupanic team ikiwa inaongoza,Baleke alikua sawa tu. Mwarabu hana adabu uwanjani sema sijui labda hujawahi kabiliana nao uwanjani wana mbinu chafu
Kuosha wapi kiongozi, hakukuwa na hiyo nafasiMnakomaa na Baleke wakati mabeki wa Simba walizembea kuosha mpira, ukabaki unawagonga gonga tu