Edson Carrington
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 216
- 636
Habari wakuu,
Hutakiwi kuwa kwenye tension kwa kiasi kile, na hatukuwa na haja ya kuwa panic kwa kuwa tayari tulikuwa tukiongoza kwa bao mbili zidi ya upinzani.
Unapopanic unasababisha loose ya concentration kwako mpaka kwa wenzako, hivyo mindset ina change na umakini unapungua kwa kiasi kikubwa.
Baleke hakutakiwa kupanic alitakiwa kurudi kuzuia na kuwapanga wenzake na si kufanya kama ilivyokuwa.
Mpira ni nidhamu.
Sent using Jamii Forums mobile app