Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analea chama au?Pascal analea mwenzako
Wanabodi,
leo nilikuwa naangalia TBC Ardhio..
[*]Hongera Sana Gerson Msigwa kurudia kazi yako ya utangazaji!. Hiki ulichokifanya leo jijini New York, nchini Marekani, ndicho ulipaswa ukifanye Ikulu yetu, siku zote ilipokuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu.
[*]Kazi ya Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu, sio tuu ni kuandika Press Release, bali pia kuiripoti direct from Ikulu kwa piece to camera kama ulivyo fanya leo.
[*]Ulipaswa kuturipotia shughuli muhimu za rais ikitokea Ikulu, na kuiripoti moja kwa moja into the news.
[*]Pia ulipaswa kuitisha Press Conference na kufanya Press Briefing kwetu sisi waandishi kama walivyofanya Balozi Choks, Balozi Nkurlu na Balozi Kalaghe, na kama wafanyavyo ma Press Sec wa wenzetu Duniani.
[*]Naamini Zuhura Yunus hata kuwa Bubu, ikitokea rais ana shughuli muhimu, asiishie kutusambazia just a press release bali sasa sambazeni multi media release yenye press release, photo gallery, audio footage, TV footage, social media footage na Peace to Camera.
[/LIST]
All and all, hongereni sana for all that you are doing, Leo sisi huku Bongo ni hakuna kulala mpaka hiyo saa 8:30 usiku wa manane.
Tunawasubiria tushuhudie.
Paskali.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu (DPC), Zuhura Yunus akizungumza na Vyombo vya Habari Ikulu jijini Dares Salaam leo Tarehe 12 Novemba, 2022
Kumbe ni wewe ulimsagia kunguni!.Mkuu najua ulitaka kusema ukweli Zuhura ni mtangazaji lakini hawezi kazi ya ukurugenzi wa mawasiliano.