Hata kama aliiba kura wetu ni zaidi ya kichaa kapewa runguKenyatta sio raisi Bora Africa mashariki tuu Bali ni Africa yote hakuna kiongoz wa Kariba yake
Sheria bila busara ni hatar huenda hata wewe tukiisimamia ipasavyo sheria waweza kukuta hukupaswa kuwepo duniani.Je alichokifanya kenyata siyo kuvunja katiba ya kenya maana kama katiba inazungumza kujiapisha ni kinyume na katiba na kenyata ameapa kuilinda katiba iyo je kushindwa kuilinda katiba si inatosha kumuondoa madarakani
Mungu amtangulie,hahahaha ukisukumizwa ni kazi sana unakuwa huelewi lolote na unatumia miguvu
Mapengo elewa point, hiv angewaachia umeme, akapeleka jeshi unahis leo tungezungumza lugha gani? Kuwaacha tu wafanye shughuli yao na walidhike inatosha kumpa credibility.Ni kweli alitumia busara sana kuzima tv za citizen, Ntv pamoja na radio.
Aliwakatia mpaka umeme. hakika Kenyata ni Rais wa kupigiwa mfano.
Kumsamehe au kumpuuzia mtu, sio kosa! maana itaonekana kama anafanya upuuzi, na kwakua hakuvunja amani ndio maana aliachiwa na maisha yakaendelea, na hio haimwondolei sifa rais bali huwa inamwongezea sifa, si unaona kwa kenyata?Je alichokifanya kenyata siyo kuvunja katiba ya kenya maana kama katiba inazungumza kujiapisha ni kinyume na katiba na kenyata ameapa kuilinda katiba iyo je kushindwa kuilinda katiba si inatosha kumuondoa madarakani
Ndiyo maana ya Kiongozi wa Nchi, wale sio adui ni raia wake pia, Na ndiyo maana nzima ya democracy, ameheshimu mawazo na ametegua mtego wa machafuko yaliyokuwa yanaenda kuinyemelea Kenya..
Wanavyopendaga sifa hapa? Siku ambayo Odinga ametangaza tarehe ya kujiapisha, yangefanyika mazoezi vitisho, mikwara mingi mingi.,, kama ile ya UKUTA tu ilikuwa mbwembwe nyingi,..
Kuna kitu Wakenya na Rais wao wametuzidi sio mbaya tukijifunza!? Odinga ameridhika na wafuasi wake wameridhika ameenda zake kwenye Ikulu yake nyumbani kwake, hana jeshi, hana baraza la mawaziri, wala hana chochote cha kufanya kuwa Rais mwenye mamlaka na Kenya, wamempuuzia na ameridhika, ni Rais wa watu ndicho kiapo chake kilivyofanyika..
Unadhani Kenyatta bila kutegua fumbo hilo kwa sasa Kenya ingekuaje? Kenyatta hausiani kabisa na ile kauli ya Trumph, 'shithole'
View attachment 688074
bora hiyo mara elfu kuliko risasi mkuu.Ni kweli alitumia busara sana kuzima tv za citizen, Ntv pamoja na radio.
Aliwakatia mpaka umeme. hakika Kenyata ni Rais wa kupigiwa mfano.
Magu akibadilisha hapo, history will be on his side.Kenyatta alikuwa very smart. Very smart indeed. Japo he is not my cup of tea, kwa hili, ametumia sana akilI. International media walikuwa tayari ku report machafuko. Hawakupata kitu.
A big lesson to Magu. Asingekataza mikutano ya kisiasa hadi kufikia wakati huu, wananchi wangechoka wenyewe.
Mwl Nyerere aliwaambia acheni wambebe Mrema kwa raha zao. Leo hii nani anambeba?
wewe nawe, music unaopigwa ni blues, wewe unacheza reggaeNi kweli alitumia busara sana kuzima tv za citizen, Ntv pamoja na radio.
Aliwakatia mpaka umeme. hakika Kenyata ni Rais wa kupigiwa mfano.
Alichokifanya Kenyatta ni kuiepusha nchi yake kutumbukia katika machafuko.Je alichokifanya kenyata siyo kuvunja katiba ya kenya maana kama katiba inazungumza kujiapisha ni kinyume na katiba na kenyata ameapa kuilinda katiba iyo je kushindwa kuilinda katiba si inatosha kumuondoa madarakani
Watuhumiwa wengi wa The Hague wala siyo Waafrika .......... tunalishwa propaganda tu!!The Hague ni kwa waafrica
hii ni zaidi ya siasa kwa hili big up uhuruNdiyo maana ya Kiongozi wa Nchi, wale sio adui ni raia wake pia, Na ndiyo maana nzima ya democracy, ameheshimu mawazo na ametegua mtego wa machafuko yaliyokuwa yanaenda kuinyemelea Kenya..
Wanavyopendaga sifa hapa? Siku ambayo Odinga ametangaza tarehe ya kujiapisha, yangefanyika mazoezi vitisho, mikwara mingi mingi.,, kama ile ya UKUTA tu ilikuwa mbwembwe nyingi,..
Kuna kitu Wakenya na Rais wao wametuzidi sio mbaya tukijifunza!? Odinga ameridhika na wafuasi wake wameridhika ameenda zake kwenye Ikulu yake nyumbani kwake, hana jeshi, hana baraza la mawaziri, wala hana chochote cha kufanya kuwa Rais mwenye mamlaka na Kenya, wamempuuzia na ameridhika, ni Rais wa watu ndicho kiapo chake kilivyofanyika..
Unadhani Kenyatta bila kutegua fumbo hilo kwa sasa Kenya ingekuaje? Kenyatta hausiani kabisa na ile kauli ya Trumph, 'shithole'
View attachment 688074
Ndiyo maana ya Kiongozi wa Nchi, wale sio adui ni raia wake pia, Na ndiyo maana nzima ya democracy, ameheshimu mawazo na ametegua mtego wa machafuko yaliyokuwa yanaenda kuinyemelea Kenya..
Wanavyopendaga sifa hapa? Siku ambayo Odinga ametangaza tarehe ya kujiapisha, yangefanyika mazoezi vitisho, mikwara mingi mingi.,, kama ile ya UKUTA tu ilikuwa mbwembwe nyingi,..
Kuna kitu Wakenya na Rais wao wametuzidi sio mbaya tukijifunza!? Odinga ameridhika na wafuasi wake wameridhika ameenda zake kwenye Ikulu yake nyumbani kwake, hana jeshi, hana baraza la mawaziri, wala hana chochote cha kufanya kuwa Rais mwenye mamlaka na Kenya, wamempuuzia na ameridhika, ni Rais wa watu ndicho kiapo chake kilivyofanyika..
Unadhani Kenyatta bila kutegua fumbo hilo kwa sasa Kenya ingekuaje? Kenyatta hausiani kabisa na ile kauli ya Trumph, 'shithole'
View attachment 688074
Walio sukumizwa wanaonekana tu, wew siunamuona huyu Mnyarwanda anae ongoza Drc Congo. Yaani yule ajielewi kabisa.hahahaha ukisukumizwa ni kazi sana unakuwa huelewi lolote na unatumia miguvu
Sky unazan hata kuna mtu angejitokeza?katu,watu wangejikunyata,tatzo la tanzania ni weng wa maneno,wanafik weng.mnaweza panga hv wenzako wakakukimbia na kukukana dakika ya mwisho,unajikta peke yako barabran,Ingekuwa hapa kwetu saa hizi tungekuwa tunabanana central tukijiandaa kwenda Segerea