Alichokifanya Kenyatta ni Akili, Hekima na Busara sio Nguvu

Je alichokifanya kenyata siyo kuvunja katiba ya kenya maana kama katiba inazungumza kujiapisha ni kinyume na katiba na kenyata ameapa kuilinda katiba iyo je kushindwa kuilinda katiba si inatosha kumuondoa madarakani
Sheria bila busara ni hatar huenda hata wewe tukiisimamia ipasavyo sheria waweza kukuta hukupaswa kuwepo duniani.
 
Ni kweli alitumia busara sana kuzima tv za citizen, Ntv pamoja na radio.

Aliwakatia mpaka umeme. hakika Kenyata ni Rais wa kupigiwa mfano.
Mapengo elewa point, hiv angewaachia umeme, akapeleka jeshi unahis leo tungezungumza lugha gani? Kuwaacha tu wafanye shughuli yao na walidhike inatosha kumpa credibility.
 
Je alichokifanya kenyata siyo kuvunja katiba ya kenya maana kama katiba inazungumza kujiapisha ni kinyume na katiba na kenyata ameapa kuilinda katiba iyo je kushindwa kuilinda katiba si inatosha kumuondoa madarakani
Kumsamehe au kumpuuzia mtu, sio kosa! maana itaonekana kama anafanya upuuzi, na kwakua hakuvunja amani ndio maana aliachiwa na maisha yakaendelea, na hio haimwondolei sifa rais bali huwa inamwongezea sifa, si unaona kwa kenyata?
 
Ndiyo maana ya Kiongozi wa Nchi, wale sio adui ni raia wake pia, Na ndiyo maana nzima ya democracy, ameheshimu mawazo na ametegua mtego wa machafuko yaliyokuwa yanaenda kuinyemelea Kenya..

Wanavyopendaga sifa hapa? Siku ambayo Odinga ametangaza tarehe ya kujiapisha, yangefanyika mazoezi vitisho, mikwara mingi mingi.,, kama ile ya UKUTA tu ilikuwa mbwembwe nyingi,..

Kuna kitu Wakenya na Rais wao wametuzidi sio mbaya tukijifunza!? Odinga ameridhika na wafuasi wake wameridhika ameenda zake kwenye Ikulu yake nyumbani kwake, hana jeshi, hana baraza la mawaziri, wala hana chochote cha kufanya kuwa Rais mwenye mamlaka na Kenya, wamempuuzia na ameridhika, ni Rais wa watu ndicho kiapo chake kilivyofanyika..

Unadhani Kenyatta bila kutegua fumbo hilo kwa sasa Kenya ingekuaje? Kenyatta hausiani kabisa na ile kauli ya Trumph, 'shithole'

View attachment 688074

Naona watu WENGI wanachangia kwa ushabiki au kwa kukosa exposure kwani kwa mtazamo wangu; KUACHA RAIS MWINGINE AAPISHWE NDANI YA NCHI SIO SAWA....UKISHA RUHUSU MTOTO AENDE SHULE, UJUE UTADAIWA MADAFTARI, KALAM NA PENGINE KULIPA ADA. Jipeni muda mtaelewa
 
Kenyatta alikuwa very smart. Very smart indeed. Japo he is not my cup of tea, kwa hili, ametumia sana akilI. International media walikuwa tayari ku report machafuko. Hawakupata kitu.

A big lesson to Magu. Asingekataza mikutano ya kisiasa hadi kufikia wakati huu, wananchi wangechoka wenyewe.

Mwl Nyerere aliwaambia acheni wambebe Mrema kwa raha zao. Leo hii nani anambeba?
 
Ni kweli alitumia busara sana kuzima tv za citizen, Ntv pamoja na radio.

Aliwakatia mpaka umeme. hakika Kenyata ni Rais wa kupigiwa mfano.
bora hiyo mara elfu kuliko risasi mkuu.

Katika situation ya hatari kama hiyo kwa Taifa lake na sintofahamu, hapo wahenga wanasema “alicheza gere”
 
Kenyatta alikuwa very smart. Very smart indeed. Japo he is not my cup of tea, kwa hili, ametumia sana akilI. International media walikuwa tayari ku report machafuko. Hawakupata kitu.

A big lesson to Magu. Asingekataza mikutano ya kisiasa hadi kufikia wakati huu, wananchi wangechoka wenyewe.

Mwl Nyerere aliwaambia acheni wambebe Mrema kwa raha zao. Leo hii nani anambeba?
Magu akibadilisha hapo, history will be on his side.
 
Ni kweli alitumia busara sana kuzima tv za citizen, Ntv pamoja na radio.

Aliwakatia mpaka umeme. hakika Kenyata ni Rais wa kupigiwa mfano.
wewe nawe, music unaopigwa ni blues, wewe unacheza reggae
 
Je alichokifanya kenyata siyo kuvunja katiba ya kenya maana kama katiba inazungumza kujiapisha ni kinyume na katiba na kenyata ameapa kuilinda katiba iyo je kushindwa kuilinda katiba si inatosha kumuondoa madarakani
Alichokifanya Kenyatta ni kuiepusha nchi yake kutumbukia katika machafuko.
 
Ndiyo maana ya Kiongozi wa Nchi, wale sio adui ni raia wake pia, Na ndiyo maana nzima ya democracy, ameheshimu mawazo na ametegua mtego wa machafuko yaliyokuwa yanaenda kuinyemelea Kenya..

Wanavyopendaga sifa hapa? Siku ambayo Odinga ametangaza tarehe ya kujiapisha, yangefanyika mazoezi vitisho, mikwara mingi mingi.,, kama ile ya UKUTA tu ilikuwa mbwembwe nyingi,..

Kuna kitu Wakenya na Rais wao wametuzidi sio mbaya tukijifunza!? Odinga ameridhika na wafuasi wake wameridhika ameenda zake kwenye Ikulu yake nyumbani kwake, hana jeshi, hana baraza la mawaziri, wala hana chochote cha kufanya kuwa Rais mwenye mamlaka na Kenya, wamempuuzia na ameridhika, ni Rais wa watu ndicho kiapo chake kilivyofanyika..

Unadhani Kenyatta bila kutegua fumbo hilo kwa sasa Kenya ingekuaje? Kenyatta hausiani kabisa na ile kauli ya Trumph, 'shithole'
View attachment 688074
hii ni zaidi ya siasa kwa hili big up uhuru
 
Je Kenyatta kavitendea haki vyombo vya habari?. Alivi shutdown ili afanye nini!?.
Hakua na namna ,bila kukaa mezani na Raila Odinga kenya hapatatosha, subirini
 
ambacho kingetokea jana kama wangethubutu kupambna na raia waliojitokeza nadhan wangerud icc,zile zilikuwa nafsi za watu waliojitoa muhanga,chochote kingetoa.wewe unaambiwa ni uhaini na haugopi,unadhan ni ujasir wa kawaida?twachen jaman,wakenya ni watu wakorofi sana,msidhan ni kama tz,na najua wazi raia hawataweza mkamata wala kumfunga,he is political powerful in the country,
 
Ndiyo maana ya Kiongozi wa Nchi, wale sio adui ni raia wake pia, Na ndiyo maana nzima ya democracy, ameheshimu mawazo na ametegua mtego wa machafuko yaliyokuwa yanaenda kuinyemelea Kenya..

Wanavyopendaga sifa hapa? Siku ambayo Odinga ametangaza tarehe ya kujiapisha, yangefanyika mazoezi vitisho, mikwara mingi mingi.,, kama ile ya UKUTA tu ilikuwa mbwembwe nyingi,..

Kuna kitu Wakenya na Rais wao wametuzidi sio mbaya tukijifunza!? Odinga ameridhika na wafuasi wake wameridhika ameenda zake kwenye Ikulu yake nyumbani kwake, hana jeshi, hana baraza la mawaziri, wala hana chochote cha kufanya kuwa Rais mwenye mamlaka na Kenya, wamempuuzia na ameridhika, ni Rais wa watu ndicho kiapo chake kilivyofanyika..

Unadhani Kenyatta bila kutegua fumbo hilo kwa sasa Kenya ingekuaje? Kenyatta hausiani kabisa na ile kauli ya Trumph, 'shithole'
View attachment 688074

Ametupiga mzinga wa 'KOFI' ukiangalia na Mzee ni rafiki ya Baba basi mh!
 
Back
Top Bottom