Alichokifanya Mwalimu Nyerere Mwaka 1995 mbele ya Macho yangu

Hata mimi aise...NCCR mageuzi na alama ya CHADEMA wapi na wapi?
By then CHADEMA ya akina Kasanga Tumbo na ofisi yao pale Magomeni, haikuwa hata mashuhuri...
Hii ndiyo hoja ya kumpinga mleta mada?!?
 
Lakini niseme ukweli wangu. Kati ya Mrema na Marehemu Benjamin Mkapa, nitakuwa siitendei haki Tanzania kumchagua Mrema na kumwacha Mkapa. Kwa hiyo Mwalimu alikuwa sahihi.
Katika hili nakubaliana nawe kwa 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…