Augustino Mrema amefariki Dunia, Agosti 21, 2022, hili halina ubishi na sisi kama wanadamu tuliosalia hapa Duniani, hatuna budi kumuombea kwa Mungu nafuu ya adhabu ya kaburi na nafuu siku ya khiyama.
Bali tunatafakari jambo moja tu linalohusu mirathi, Lyatonga Mrema "bila kushawishiwa na mtu...
Mwenyekiti wa TLP Augustino Lyatonga Mrema, ameonekana kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Jijini Dodoma akiwa na Mkewe , ambapo baada ya kuingia alishangiliwa kwa nguvu na Wajumbe wa Mkutano huo, kiasi cha kukatiza hotuba ya Mwenyekiti wa ccm Samia Suluhu.
Bado haijafahamika kama Mrema amehudhuria...
Ufisida ni janga la taifa letu na ni viongozi wachache ambao hujitoa kupinga ufisadi kwa moyo wa dhati.
Lyatonga Mrema alipinga ufisadi kwa maisha yake yote akiwa mtumishi wa umma mpaka sasa akiwa mzee.
Nakumbuka kupewa stori na wazee wa Wanaomfahamu Mrema kupambana na walanguzi na maadui wa...
Nikiwa Darasa la Saba Mwaka 1995, kama kijana yoyote wa Moshi Mjini Nilikua na Hamasa Kubwa Kisiasa, Na Moshi Mjini Ilikua Imewaka Moto Kisiasa.
Bwana Mrema Alikua Amejiunga na NCCR Mageuzi, Nayo NCCR ikaunganisha Nguvu Na CHADEMA Wakaweka mgombea Ubunge Bwana MTUI...na Urais Akawa Bwana...
TLP leo imemlaki Magufuli katika eneo la Himo jimboni Vunjo.
Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha TLP Mzee Agustino Lyatonga Mrema
Akizungumza mara baada ya Rais kumpa nafasi ya kumuombea kura, Mrema amewaambia watu wa Himo na Vunjo kuwa kura zote kwa Rais Dk. John Pombe...
Mwenyekiti wa TLP amesema CCM na wasimamizi wa serikali za mitaa wamemchezea rafu, anasema mfano Moshi, mawakala wa chama chake wameondolewa kwenye vituo vya kupigia kura.
Ameonya kama hali ndo hii, kuna uwezekano wa kutokea machafuko huko mbeleni.
****
Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.