Lyatonga Mrema ahudhuria Mkutano Mkuu wa CCM

Lyatonga Mrema ahudhuria Mkutano Mkuu wa CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Mwenyekiti wa TLP Augustino Lyatonga Mrema, ameonekana kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Jijini Dodoma akiwa na Mkewe , ambapo baada ya kuingia alishangiliwa kwa nguvu na Wajumbe wa Mkutano huo, kiasi cha kukatiza hotuba ya Mwenyekiti wa ccm Samia Suluhu.

Bado haijafahamika kama Mrema amehudhuria Mkutano huo kama Mgeni mwalikwa, ama kama Mwana-CCM, Mwenyekiti wa TLP au amehudhuria kama sehemu ya fungate baada ya kufunga ndoa kabambe hivi karibuni.

MREMA_NA_MKEWE_NDANI_KATIKA_MKUTANO_MKUU_MAALUMU_CCM_-_DODOMA%3A%0A.%0AMwenyekiti_wa_TLP%2C_Au...jpg
 
Mwenyekiti wa TLP Augustino Lyatonga Mrema , ameonekana kwenye Mkutano Mkuu wa ccm Jijini Dodoma akiwa na Mkewe , ambapo baada ya kuingia alishangiliwa kwa nguvu na Wajumbe wa Mkutano huo , kiasi cha kukatiza hotuba ya Mwenyekiti wa ccm Samia Suluhu...
Muda wa Mbowe kuhudhurua mkutano Mkuu CCM umewadia,aache kuwahadaa makamanda
 
Mwenyekiti wa TLP Augustino Lyatonga Mrema , ameonekana kwenye Mkutano Mkuu wa ccm Jijini Dodoma akiwa na Mkewe , ambapo baada ya kuingia alishangiliwa kwa nguvu na Wajumbe wa Mkutano huo , kiasi cha kukatiza hotuba ya Mwenyekiti wa ccm Samia Suluhu.

Bado haijafahamika kama Mrema amehudhuria Mkutano huo kama Mgeni mwalikwa , ama kama Mwanaccm , Mwenyekiti wa TLP au amehudhuria kama sehemu ya fungate baada ya kufunga ndoa kabambe hivi karibuni.

View attachment 2171416
Hivi huyu dada naye zinamtosha kweli?
 
Unaweza kukuta mke wa Mrema ni Chadema.

Wachaga tuna vituko sana bwashee!
 
Back
Top Bottom