Lyatonga Mrema ahudhuria Mkutano Mkuu wa CCM

Lyatonga Mrema ahudhuria Mkutano Mkuu wa CCM

Mwenyekiti wa TLP Augustino Lyatonga Mrema , ameonekana kwenye Mkutano Mkuu wa ccm Jijini Dodoma akiwa na Mkewe , ambapo baada ya kuingia alishangiliwa kwa nguvu na Wajumbe wa Mkutano huo , kiasi cha kukatiza hotuba ya Mwenyekiti wa ccm Samia Suluhu.

Bado haijafahamika kama Mrema amehudhuria Mkutano huo kama Mgeni mwalikwa , ama kama Mwanaccm , Mwenyekiti wa TLP au amehudhuria kama sehemu ya fungate baada ya kufunga ndoa kabambe hivi karibuni.

View attachment 2171416
Mzee ameuchapa usingizi, nyuma ya mkewe kuna mjamaa anamkodolea macho mama.
 
Mwenyekiti wa TLP Augustino Lyatonga Mrema , ameonekana kwenye Mkutano Mkuu wa ccm Jijini Dodoma akiwa na Mkewe , ambapo baada ya kuingia alishangiliwa kwa nguvu na Wajumbe wa Mkutano huo , kiasi cha kukatiza hotuba ya Mwenyekiti wa ccm Samia Suluhu.

Bado haijafahamika kama Mrema amehudhuria Mkutano huo kama Mgeni mwalikwa , ama kama Mwanaccm , Mwenyekiti wa TLP au amehudhuria kama sehemu ya fungate baada ya kufunga ndoa kabambe hivi karibuni.

View attachment 2171416
Mke wa Mrema apewe uteuzi ili amtunze vizuri mzee wetu.ana madhaifu yske lakini alifanya kazi ya kutukuka sana katika nchi hii.
 
hapo naona mke wake anawatolea macho masponsor wa CCM
Akili za wadangaji mnahisi kila mwanamke ni mdangaji,wengine sio wadangaji ni wanawake wanajiheshimu na wanaojua thamani yao na future yao.

si kila mwanamke anaeolewa na mwanaume aliemzidi umri sana kafata mali na amekaa kidangaji dangaji,msi generalize tabia zenu kwa kila mwanamke mstarabu mnae muona mbele yenu.
 
Huyu mzee angepumzika tu
Sahv alitakiwa awe Maldives au hawaiii
huko anakula raha tu

Ova
 
mkewe anaonekana hata kimavazi yupo smart sna na umri ni mtu mzima haswaa

na wengi waliokuwa wanamcheka huyu mzee ni migume gume inayokimbiwa hayaolewi
Mrema kalenga

Ova
 
Back
Top Bottom