Alichokisema Amunike baada ya gemu Lesotho

PURT50

Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
43
Reaction score
36
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars, Emmanuel Amunike amejibu suala LA wadau wengi wa soka nchini kulalamkia kitendo cha kutomwanzisha mapema straika John Bocco.
"Hii ni Taifa Stars na sio Simba,mchezaji atapangwa kwenye mechi kulingana na kiwango alichokionesha mazoezini" alidai Amunike
 
Hamna kocha mule ....sitaki hata kumsikia kaniharibia sana siku yangu jana....
 
Ndio hivo tena ishatugharimu. Pengine angeanza tungeweza badili matokeo au la.
 
Hamna kocha mule ....sitaki hata kumsikia kaniharibia sana siku yangu jana....
Aishi Manula katufungisha acheni kumfichia uozo wake kupitia kumlalamikia kocha. Mipira ya faulonna kona anapangua utadhani anakula mlenda kila siku. Kawatengea watu mbili. Moja wakachemka baada ya Yondani kufuta kwenye mstari Wa goli na moja wakachezesha nyavu
 
Kakolanya ni yule aliyepigwa chenga na Mayanga wa Ndanda au mwingine?
 
Hamna kocha mule ....sitaki hata kumsikia kaniharibia sana siku yangu jana....
Kocha ndie aliecheza? Hatuna wachezaji wenye kiwango cha kufika fainali za Africa tusimlaumu kocha wachezaji wa Tanzania hawafundishiki ndio maana miaka yote tuna mchezaji mmoja tu kwenye timu za maana ni Mbwana Samata tu
 
Hatujajiandaa kushindana so haina haja ya kufuzu Afcon, acha tuendelee kupiga kelele ya uchaguzi wa Yanga tu ndo tunaloliweza
 
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars, Emmanuel Amunike amejibu suala LA wadau wengi wa soka nchini kulalamkia kitendo cha kutomwanzisha mapema straika John Bocco.
"Hii ni Taifa Stars na sio Simba,mchezaji atapangwa kwenye mechi kulingana na kiwango alichokionesha mazoezini" alidai Amunike
Huyu jamaa anaonekana anaichukia sana Simba. Atake asitake Simba ndio timu bora kwa sasa maana ndio bingwa.
 
Hivi niulize tu kwani Lesotho wao hawataki kwenda AFCON???? Eti tunalalamika weee alafu uwanja wao huku kwetu tulitoka nao draw tutegemee nini?
 
Kabisa anaonekana anaichukia simba, tatizo hajui ndio inayomuweka mjini
Huyu jamaa anaonekana anaichukia sana Simba. Atake asitake Simba ndio timu bora kwa sasa maana ndio bingwa.
 
Aishi Manula katufungisha acheni kumfichia uozo wake kupitia kumlalamikia kocha. Mipira ya faulonna kona anapangua utadhani anakula mlenda kila siku. Kawatengea watu mbili. Moja wakachemka baada ya Yondani kufuta kwenye mstari Wa goli na moja wakachezesha nyavu
Hiviiii. .......Manji alishachukua fomu?
 
Hivi niulize tu kwani Lesotho wao hawataki kwenda AFCON???? Eti tunalalamika weee alafu uwanja wao huku kwetu tulitoka nao draw tutegemee nini?
Upo sahihi mkuu, kama kwetu jamaa walipata sare, eti tuwafunge kwao je wao hawataki kwenda AFCON? ilikuwa lazima tufungwe. Pia Cape Verde watawapiga Lesotho na kufuzu, labda tuwafunge waganda naamini tutatoka nao sare au kufungwa pale taifa. Uliona back walivyokuwa wanachanganyana? Sema Lesotho forward zao hawakuwa makini, tulistahili kunywa goli tatu juzi!
 
Back
Top Bottom