Aishi Manula katufungisha acheni kumfichia uozo wake kupitia kumlalamikia kocha. Mipira ya faulonna kona anapangua utadhani anakula mlenda kila siku. Kawatengea watu mbili. Moja wakachemka baada ya Yondani kufuta kwenye mstari Wa goli na moja wakachezesha nyavuHamna kocha mule ....sitaki hata kumsikia kaniharibia sana siku yangu jana....
Kakolanya Yupo safi ila basi tu.Aishi Manula katufungisha acheni kumfichia uozo wake kupitia kumlalamikia kocha. Mipira ya faulonna kona anapangua utadhani anakula mlenda kila siku. Kawatengea watu mbili. Moja wakachemka baada ya Yondani kufuta kwenye mstari Wa goli na moja wakachezesha nyavu
Kocha ndie aliecheza? Hatuna wachezaji wenye kiwango cha kufika fainali za Africa tusimlaumu kocha wachezaji wa Tanzania hawafundishiki ndio maana miaka yote tuna mchezaji mmoja tu kwenye timu za maana ni Mbwana Samata tuHamna kocha mule ....sitaki hata kumsikia kaniharibia sana siku yangu jana....
Huyu jamaa anaonekana anaichukia sana Simba. Atake asitake Simba ndio timu bora kwa sasa maana ndio bingwa.Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars, Emmanuel Amunike amejibu suala LA wadau wengi wa soka nchini kulalamkia kitendo cha kutomwanzisha mapema straika John Bocco.
"Hii ni Taifa Stars na sio Simba,mchezaji atapangwa kwenye mechi kulingana na kiwango alichokionesha mazoezini" alidai Amunike
Nawashangaa sijui record gani aliyonayo Kakolanya, mechi alizocheza hivi karibuniKakolanya ni yule aliyepigwa chenga na Mayanga wa Ndanda au mwingine?
Huyu jamaa anaonekana anaichukia sana Simba. Atake asitake Simba ndio timu bora kwa sasa maana ndio bingwa.
Hiviiii. .......Manji alishachukua fomu?Aishi Manula katufungisha acheni kumfichia uozo wake kupitia kumlalamikia kocha. Mipira ya faulonna kona anapangua utadhani anakula mlenda kila siku. Kawatengea watu mbili. Moja wakachemka baada ya Yondani kufuta kwenye mstari Wa goli na moja wakachezesha nyavu
Upo sahihi mkuu, kama kwetu jamaa walipata sare, eti tuwafunge kwao je wao hawataki kwenda AFCON? ilikuwa lazima tufungwe. Pia Cape Verde watawapiga Lesotho na kufuzu, labda tuwafunge waganda naamini tutatoka nao sare au kufungwa pale taifa. Uliona back walivyokuwa wanachanganyana? Sema Lesotho forward zao hawakuwa makini, tulistahili kunywa goli tatu juzi!Hivi niulize tu kwani Lesotho wao hawataki kwenda AFCON???? Eti tunalalamika weee alafu uwanja wao huku kwetu tulitoka nao draw tutegemee nini?
Kwani alikuwepo Lesotho wakati Aishi anatufungisha!?Hiviiii. .......Manji alishachukua fomu?
Alikuwepo wakati Kakolanya anapigwa chenga na forward wa Ndanda kucheleKwani alikuwepo Lesotho wakati Aishi anatufungisha!?
Hilo halifanani na la pale kirumba,au la pale kirumba halikuwa na tuchengachenga kidogo?Alikuwepo wakati Kakolanya anapigwa chenga na forward wa Ndanda kuchele