Ya Kirumba lilikuwa penalty, mie nazungumzia Ile chenga kuanzia mabeki mpaka kipa wote chali halafu kijana anaingia nao nyavuni kwa dharauuuuu.Hilo halifanani na la pale kirumba,au la pale kirumba halikuwa na tuchengachenga kidogo?
Ila kapenati kalitokana na tuchenga kidogo watu wakaona usitutanie bwana. N way kale kagoli ka likotokana na kupigwa chenga kakolanya na wenzie na kale ka penati pale kirumba tulifanya hutu tutimu tukubwa twa magazetini kutoka bila hata pointi moja pasipokujali aina ya kagoliYa Kirumba lilikuwa penalty, mie nazungumzia Ile chenga kuanzia mabeki mpaka kipa wote chali halafu kijana anaingia nao nyavuni kwa dharauuuuu.
msimu uliopita..msimu huu mmeshakalia kimbao kilichochongokaHuyu jamaa anaonekana anaichukia sana Simba. Atake asitake Simba ndio timu bora kwa sasa maana ndio bingwa.
Beno KakolanyaaaaaaKabla ya kumfikia kocha na manula wale mabeki wapumbavu kwanini walisababisha kona iliyozaa goli.pumbavu wale mabeki
Hapa siingiliiBeno Kakolanyaaaaaa
Tuache utani wachezaji na hata benchi la ufundi lilicheza na tension kubwa kutokana na matumaini makubwa kupita kiasi ya hata serikali kutaka ushindi.Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars, Emmanuel Amunike amejibu suala LA wadau wengi wa soka nchini kulalamkia kitendo cha kutomwanzisha mapema straika John Bocco.
"Hii ni Taifa Stars na sio Simba,mchezaji atapangwa kwenye mechi kulingana na kiwango alichokionesha mazoezini" alidai Amunike
Nani hajawahi kupigwa chenga? Hata wewe unapigwa chenga na mkeo.Kakolanya ni yule aliyepigwa chenga na Mayanga wa Ndanda au mwingine?