Alichokisema Amunike baada ya gemu Lesotho

Alichokisema Amunike baada ya gemu Lesotho

Hilo halifanani na la pale kirumba,au la pale kirumba halikuwa na tuchengachenga kidogo?
Ya Kirumba lilikuwa penalty, mie nazungumzia Ile chenga kuanzia mabeki mpaka kipa wote chali halafu kijana anaingia nao nyavuni kwa dharauuuuu.
 
Ya Kirumba lilikuwa penalty, mie nazungumzia Ile chenga kuanzia mabeki mpaka kipa wote chali halafu kijana anaingia nao nyavuni kwa dharauuuuu.
Ila kapenati kalitokana na tuchenga kidogo watu wakaona usitutanie bwana. N way kale kagoli ka likotokana na kupigwa chenga kakolanya na wenzie na kale ka penati pale kirumba tulifanya hutu tutimu tukubwa twa magazetini kutoka bila hata pointi moja pasipokujali aina ya kagoli
 
Kiukweli kabisa watanzania bado hamjakaa chini mkajua tatizo lenu, bado mnacheza ile mipira ya bahati nasibu
 
Wachezaji inaelekea Hawana morali na bidii ya kucheza pamoja na kupewa Huduma zote. Wakati mungine kocha tusimlaumu hana namna hachezi uwanjani atatoa mchango wake lakini wachezaji Hawakutoa Sehemu ya mchango Wao.
 
Alichokitaka tayari kashakipata, atulie aache kubwabwaja
 
Kabla ya kumfikia kocha na manula wale mabeki wapumbavu kwanini walisababisha kona iliyozaa goli.pumbavu wale mabeki
 
Watanzania kuanzia wachezaji hadi mashabiki tunatatizo kubwa sana. Uyanga na Usimba unatuharibia, kocha hana shida yoyote.
 
Beki wa kimataifa wa Tanzania anaecheza soma la kulipwa nchini Africa Kusini kwenye klabu ya baroka Fc inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo maarufu kama ABSA PREMIER LEAGUE.
ABDI HASSAN BANDA amejitoa timu ya taifa mpaka muda wa Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania mnigeria Emmanuel Amunike utakapomalizika.

Hayo yametokana na Mara baada ya kutoa ushauri kabla ya mchezo wa Lesotho kwa kumwambia awatoe mabeki katika nafasi za mawinga na kuwaweka nafasi zao wanazochezaga. Kocha Huyo alikataa na kumtoa nje ambapo beki huyo kisiki alikabidhi jezi yake kwa wachezaji wenzake na kuwaambia hachezi tena national team mpaka muda wa Kocha huyo utapomalizika na kuamua kupanda jukwaani kukaa na mashabiki kuangalia mtanange huo ambapo Tanzania ilipoteza kwa kukubali kipigo cha goli moja kwa sifuri.**

Nini maoni yako kwa ABDI Banda

Instagram @kevyn_Jr
Whatsup number 0753576251
E-mail calvin13wazza@gmail.com
 
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars, Emmanuel Amunike amejibu suala LA wadau wengi wa soka nchini kulalamkia kitendo cha kutomwanzisha mapema straika John Bocco.
"Hii ni Taifa Stars na sio Simba,mchezaji atapangwa kwenye mechi kulingana na kiwango alichokionesha mazoezini" alidai Amunike
Tuache utani wachezaji na hata benchi la ufundi lilicheza na tension kubwa kutokana na matumaini makubwa kupita kiasi ya hata serikali kutaka ushindi.
 
Tabu tunayo
Screenshot_20181121-150442.jpg
 
kocha mpumbav sana huyo kuna kipnd wachezaj kama #messi, #salah, hazard, #pogba na wengne weng huwa wanakua na viwango vbov mazoezin lakin linapokuja swala la mechi huwa wanaperfom vizr na wanaziokoa vzr tim zao anazid kukalil soka alilocheza yeye ndio analiona sahihi akat nyakat zmebadlika aache upumbv huo. ona sasa kweny mazoez wanafanya vzur mabeki tuu na gorikipa ko ataendelea kutupangia defenders 8 kweny mechi moja??????
 
Mpira wa kisasa duniani kote ni kumiliki aka pressing!! Kocha mzuri ni yule anayechagua viungo bora kumiliki na ugawa mipira.

Kocha hovyo ni wale wanaoingia uwanjani kujihani....dk 90 usipocheza na mpira mpira lazima utalia tu.

Kama tutacheza na mabeki 11 game ya Uganda lazima tutalia tena.

Game plan was wrong...hilo akubali tu na atuomne msamaha - mbona makocha wakubwa duniani huwa wanakubali makosa yao.

Afu hayo majibu ya hivyo si kwa washabiki wa Tanzania aisee!! Yanazidi kuongeza hasira za watu.
 
Back
Top Bottom