Alichokisema Kinje baada ya video ya mahaba na Tunda kuvuja

Alichokisema Kinje baada ya video ya mahaba na Tunda kuvuja

HUYU JAMAA KAFANANA NA MDINGI WAKE, HAPO KINGUNGE HAJAIBIWA HATA KDOGO

HALAFU HUYO MTANGAZAJ MBNA ANAJICHEKESHA SANA KAMA ANAOMBWA K?

NINGEKUWA KINJE NINGECHUKUA NAMBA YA HUYO DADA, NILE KABISA, KUJICHEKESHA GAN HUKO.

HALAFU HUYO TUNDA WACHA ALIWE TU, MI MWENYEWE NATAFUTA NAMBA YAKE NIWEKE DAU MEZANI. KAZ YA TUNDA NI KULIWA YAKHE
 
Kwa taarifa ya wasomaji wote Kinje ni mzee wa Down Town kitambo sana hao ni wazee wa jiji waliotingisha miaka ya nyuma na kina Idd Janguo na Ippy Malecela (RIP). Huwezi kuiongelea Darisalama ya zamani bila kuwataja hao watu kuna wengine wengi ila siwataji majina yao kwa kuwa wana mamlaka flani nchini.
 
Icho kitoto nyeti zake ni chama la wana, masela jisevieni kamevuruga mondi na kinje ni marafiki na wake zao marafiki mke wa ki nje nizury na zari nimarafiki wakubwa ipo siku watoto wa mjini watakafundisha adabu kutwa kuzurula mahotelini na kula hovyo kama mbwa koko tumbo kama kiroba cha taka kamezoea vya kunyongwa haka kajizi ilo babu nalo majanga uyo mtoto si anamzaa kabisa laana za kujitafutia
 
Haya majibu aliyoyajibu mwanaume yoyoteee anayejitambua angeyajibu ...hakuna kulialia na hakuna kukubali kitu. Ule ulikuwa ni ulevii tuu.
 
Back
Top Bottom