Duh sijakuelewa apa , ni dharau ama nini? Tuheshimiane kijana, usivuke mipaka aiseeeh
Safi sanaaa hapo clouds watajambaje kwa hasiraa na Ruge atavuta sembe siku hiyooi manenaaaaaa zaooo
duh DINAZARDE inaonekana watu wa magorofani huwapendi kabsaa!
Umbea tu kwan kakwambia wew
Duh sijakuelewa apa , ni dharau ama nini? Tuheshimiane kijana, usivuke mipaka aiseeeh
najua unateam kubwa ndomana jeuri, nlikuwa nakustua uwe makini afu uache kunichimbia mikwara, ntakuchenjia dogo....
Umbea tu kwan kakwambia wew
najua unateam kubwa ndomana jeuri, nlikuwa nakustua uwe makini afu uache kunichimbia mikwara, ntakuchenjia dogo....
hahahaaaaa... I love this forum.. I love such answers
najua unateam kubwa ndomana jeuri, nlikuwa nakustua uwe makini afu uache kunichimbia mikwara, ntakuchenjia dogo....
Ukimchenjia usisahau kunishtua nije nicheki movie la bila kiingilio
Ukimchenjia usisahau kunishtua nije nicheki movie la bila kiingilio
mwambie sinaga team kwenye vita humu, I can defend my self n then ban linanijia my self, my team has nothing to do with my personal fights, ajipange tu aje I'm here 22/7Ukimchenjia usisahau kunishtua nije nicheki movie la bila kiingilio
Kwa hyo unafurah wenzio wakigombana, binamu sio mtu mzuri wewe
Binamu jamani mi Heaven @on @earth ndio kanichekesha kusema eti movie la bila kiingilio mbona jana kule ulinyambwa nikaingiliaa mtu akasekwa rumandee halaf hata hukujaaa