Alichokisema Lady Jaydee kuhusu Ray C

Alichokisema Lady Jaydee kuhusu Ray C

najua unateam kubwa ndomana jeuri, nlikuwa nakustua uwe makini afu uache kunichimbia mikwara, ntakuchenjia dogo....

Weeeeeeee thubutuuuuuuuuu
Nenda siasanii huku hapakufaiii
 
najua unateam kubwa ndomana jeuri, nlikuwa nakustua uwe makini afu uache kunichimbia mikwara, ntakuchenjia dogo....

Wee huwez kunichenjia kijana, sipo kama unavyonifikiria, usinchukulie poaa..

Sina kibur brother, labda unatafsir vibay, sina ubaya na mtu ikitokea tatizo tunarekebishana mkuu, sina team kubwa kama unavyosema wewe.
Kiroho safi kaka, ukikisanua poa tu panachimbika
 
kumeshavurugika humu ngoja niende jukwaa la spot nikasumbuane na wakina nzi
 
Jay dee mwenyewe alikuwa ashakuwa teja,mmewe alimkimbiza France fasta kwa ajili ya Rehab watu wakazusha oho kaenda kupandikiza mimba,sa hivi anasmoke wid tu
 
Kwa hyo unafurah wenzio wakigombana, binamu sio mtu mzuri wewe

Binamu jamani mi Heaven @on @earth ndio kanichekesha kusema eti movie la bila kiingilio mbona jana kule ulinyambwa nikaingiliaa mtu akasekwa rumandee halaf hata hukujaaa
 
Last edited by a moderator:
Binamu jamani mi Heaven @on @earth ndio kanichekesha kusema eti movie la bila kiingilio mbona jana kule ulinyambwa nikaingiliaa mtu akasekwa rumandee halaf hata hukujaaa

Nani tena alinipa makavu live? Jana nilikuwa busy acha Wangu, nilikuwa napata ma updates tu , ilikuwaje na ni nani
 
Last edited by a moderator:
Binamu jamani mi Heaven @on @earth ndio kanichekesha kusema eti movie la bila kiingilio mbona jana kule ulinyambwa nikaingiliaa mtu akasekwa rumandee halaf hata hukujaaa

Kwani movie nyingine za umu mnatoaga bei gani ?? Umu mautamu yote bure wewe tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom