Alichokisema Lady Jaydee kuhusu Ray C

Alichokisema Lady Jaydee kuhusu Ray C

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwanamuziki legendary kutoka bongo Fleva , Judith Wambura aka Lady Jaydee amefunguka kwa Mara ya kwanza kuhusu mwanamuzik mwenzie Ray C kuhusu scandal ya madawa ya kulevya, huyu apa Jide

Mwandishi: Ray C ni mwanamuziki mzuri sana lakini apo kati kati alipata tatizo la madawa ya kulevya, unamzungumziaje?

Lady Jaydee: Narudia tena, kwenye intavyuu hii nisingependa kumzungumzia mtu ila ni kweli kuna wasanii tunawaona na wengine ni marafiki zetu, lakini ni vizuri wakaacha kwa sababu unga unafifisha ujenzi wa taifa haswa kwa vijana ambao ndio tegemeo.
 
warumi sasa unaelekea kutuboa mashabiki wako wa habar za udaku, sasa apo ndo jaydee kafunguka kweli kuhusu ray c?.
 
Hahhhhahhhha watu wanataka umbea kamili hahhhhahhhha hili jukwaa litaniuaa mbavuuu
 
Nyie si ndio mliomsifia MGEMA, sasa TEMBO analichakachua.........tulieni na mlinywe vivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom