Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawashtua kidog naona mmezubaa sana soon narud binam, natak tu mjue kamanda nipo bado
mi naomba unijuze kuna kastori huku kitaani kwetu kuwa jide kachaguliwa kuimba nyimbo ya world cup pamoja na mkenya octopizo, kama ni kweli naomba wadau msifungue uzi mpya kuhusu hilo maana seva zitajaa bure
Mmmh binamu umetisha, mi nilijua kajiimbia yeye amekuwa teja kwa Gardner maana pale jide umwambii kitu
Eeeeheer palee jamani sijui kuna watu wana asalii
Jamaa mwenyew sasa ,matundu yote anaingiza ,jamaa anapenda sana papuchi, Dinazarde ukimtaka fasta nakuunganishia, tupate complimentary za bure nyumbani lounge maana mademu weng ndo wanagongwa ili waingie shoo za jide bur

Mchaga kama hapendi pombe basi anapenda papuchi..
Naongea kama mchaga kutoka kibosho-umbwe.
mi naomba unijuze kuna kastori huku kitaani kwetu kuwa jide kachaguliwa kuimba nyimbo ya world cup pamoja na mkenya octopizo, kama ni kweli naomba wadau msifungue uzi mpya kuhusu hilo maana seva zitajaa bure
Ntake radhiii miee nimpeleke wapiii mie huyo anaelelewa na mwanamkee lol wagongwe tu hao wa bei za complimentary lol km
Ni kweli kaka , kapata shavu jide kwenye wimbo wa kombe la dunia
Jaman binamu hutak kula pesa za jide ? Hutak uke wenza na commando? Sema apo lazima gym ikuhusu binamu...nenda bhna kwan kit gan c unafuat mkwanja??
na wewe nae kuchagua shaur zako, wee endelea kusugua gaga na utaisoma namba mwka huu
na wewe nae kuchagua shaur zako, wee endelea kusugua gaga na utaisoma namba mwka huu
Kusoma namba sisomiii wala sizionii nazisikiaa tu miee
Huyo Gadner hata bure ni big no