PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Jeshi la polisi Mkoa wa Geita limewaonya maafisa usafirishaji (Boda boda) likiwataka kuacha kufanya vitu kwa mkumbo kwa kuwa kufanya jambo Kwa mkumbo kunanaweza kusababisha madhara kama yaliyotokea katika vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi.
Jeshi hilo limetoa wito huo kupitia Mkuu wa oparesheni wa jeshi la polisi Mkoa wa Geita Kamishina Msaidizi wa polisi ACP Amon Mimata katika kikao kati ya jeshi la polisi na maafisa usafirishaji chenye lengo la kuzungumzia usalama, pamoja na kuzungumzia yaliyojitokeza baada ya uchaguzi na kuelekea mwisho wa mwaka.