Alichokisema MO DEWJI kinaashiria nini?

Utopolo baada ya uwongo wao wa kumsajili chama kubumburuka wamekuja na story nyingine, hivi yanga pesa zinatoka kwa nani kama sio gsm.
Yule kocha aliyefukuzwa ameenda kudai haki yake fifa huku akisema yanga wamemfukuza kwa sababu wao sio wanaomlipa, hivyo badala ya kuizungumzia Simba mngeijadili litimu lenu.
 
Kuna tatizo kubwa sana kwa mashabiki wa soka la Tanzania, ikitokea ukaanzisha mjadala wa kuilenga timu moja wapo watakuponda kwamba wewe ni upande fulani.

Ila ukweli ni kwamba MO hataitoa hiyo B20 maana ni mswahili swahili sana, ikitokea wametolewa mapema CCL na wanigeria ndiyo tutajua
 
Ukweli Ni kwamba Mo akitoka Simba SC lazima itadorola, siyo dhambi kusema ukweli.

Sioni tatizo yeye kusema vile, otherwise wewe uwe ni utopolo fc.
Mo anajua kuna watu wanaikodolea macho Simba, wakati wa mchakato wa ubinafusishaji Simba kuna watu walitaka kutoa zaidi ya alichotoa na kujenga uwanja juu lakini walishindwa kwa sababu mo alishajitengenezea mazingira siyo kweli akitoka Simba itatetereka
 
Akina Nani hao? Hebu wataje boss
 
Anapata faida kubwa kwenye bidhaa zake kwa kuziuza kwa wingi kupitia kwa mashabiki wa Simba

Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
Jidanganye hivo hvo....hapat faida hata mia...mo anafanya PR tuu...ili alindwe kwa faida zake za biashara na si et anapata faida kwa kuuza hzo products zake....wa tz wanajidanganya snaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…