Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka tuanzishe ligi kwa jambo lililo wazi kama hilo?Anataka kusema akitoka tu yeye simba choka mbaya
Anapata faida kubwa kwenye bidhaa zake kwa kuziuza kwa wingi kupitia kwa mashabiki wa SimbaHivi nani anayeweza kuvumilia hasara ya B3 kila msimu?[emoji3]
Hii maana yake niJe Simba huenda yakawakuta kama ya Yanga na Manji? Ni suala la muda tu
Mo ndiye:
1. Afisa habari wa timu...
Mo hana tofauti na Mwinyi ZaheraJe Simba huenda yakawakuta kama ya Yanga na Manji? Ni suala la muda tu
Mo ndiye:
1. Afisa habari wa timu
2. Mwekezaji
3. Mtendaji mkuu
4. Mwenyekiti wa Bodi
5. Mkurugenzi wa UfundiView attachment 1627024
Mo anajua kuna watu wanaikodolea macho Simba, wakati wa mchakato wa ubinafusishaji Simba kuna watu walitaka kutoa zaidi ya alichotoa na kujenga uwanja juu lakini walishindwa kwa sababu mo alishajitengenezea mazingira siyo kweli akitoka Simba itateterekaUkweli Ni kwamba Mo akitoka Simba SC lazima itadorola, siyo dhambi kusema ukweli.
Sioni tatizo yeye kusema vile, otherwise wewe uwe ni utopolo fc.
Akina Nani hao? Hebu wataje bossMo anajua kuna watu wanaikodolea macho Simba, wakati wa mchakato wa ubinafusishaji Simba kuna watu walitaka kutoa zaidi ya alichotoa na kujenga uwanja juu lakini walishindwa kwa sababu mo alishajitengenezea mazingira siyo kweli akitoka Simba itatetereka
Jidanganye hivo hvo....hapat faida hata mia...mo anafanya PR tuu...ili alindwe kwa faida zake za biashara na si et anapata faida kwa kuuza hzo products zake....wa tz wanajidanganya snaaAnapata faida kubwa kwenye bidhaa zake kwa kuziuza kwa wingi kupitia kwa mashabiki wa Simba
Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
Ok Barbara!Jidanganye hivo hvo....hapat faida hata mia...mo anafanya PR tuu...ili alindwe kwa faida zake za biashara na si et anapata faida kwa kuuza hzo products zake....wa tz wanajidanganya snaa
Mkuu unaweza kufunguka kidogo, kuongeza nyama nyamaJidanganye hivo hvo....hapat faida hata mia...mo anafanya PR tuu...ili alindwe kwa faida zake za biashara na si et anapata faida kwa kuuza hzo products zake....wa tz wanajidanganya snaa
Mtoto wa mmiliki wa Azam lakini ndani ya Simba walimpinga kwa kudai sheria haziruhusu mtu mmoja kumiliki timu mbili ingawa Azam yeye hakuwa mmilikiAkina Nani hao? Hebu wataje boss