Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Zile bilioni ishirini ziko wapi?Sasa boss kwani kuna cha uongo hapo mkuu? Hela za usajili si huwa anatoa yeye au japo ni kweli ila haitakiwi kusemwa semwa?
Bil. 3 zinatumika kila mwaka, piga mahesabu tokea aliponunua hisa za Simba mpaka sasaZile bilioni ishirini ziko wapi?
Kwa awamu hii haweziAisee anawatisha mkithubutu kumdai anauwezo wa kuiua timu.
kwa mfano akiamua kujitoa simba kuna wakumzuia?
Ungekuwa unaijua Simba ya miaka ya 1990 mpaka alipoingia Mohammed Dewji k ama mwekezaji ungeelewa.Anataka kusema akitoka tu yeye simba choka mbaya
Mikia kila siku.huwa nawaambia, Tajiri hanuniwi! Ona sasa msimamizi wa urithi anavyo watesaJe Simba huenda yakawakuta kama ya Yanga na Manji? Ni suala la muda tu
Mo ndiye:
1. Afisa habari wa timu
2. Mwekezaji
3. Mtendaji mkuu
4. Mwenyekiti wa Bodi
5. Mkurugenzi wa UfundiView attachment 1627024
Unatumiaje pesa ambazo si zako?Bil. 3 zinatumika kila mwaka, piga mahesabu tokea aliponunua hisa za Simba mpaka sasa
Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
Hakiashirii kitu ila huo ndio ukweli hizi Timu zetu hazina hela ndio mana bila hawa matajiri zinayumbaJe Simba huenda yakawakuta kama ya Yanga na Manji? Ni suala la muda tu
Mo ndiye:
1. Afisa habari wa timu
2. Mwekezaji
3. Mtendaji mkuu
4. Mwenyekiti wa Bodi
5. Mkurugenzi wa UfundiView attachment 1627024
Anapata faida kubwa kwenye bidhaa zake kwa kuziuza kwa wingi kupitia kwa mashabiki wa Simba
Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
Sawa Barbara!Huu ni ujinga unaotokana na wivu wa mtu maskini na fukara.
Sasa kama anapata faida wewe nini kinachokuuma?
Umewahi kununua bidhaa gani ya Mo kwa vile tu umeisoma kwenye jezi za Simba?Ni vizuri kuanzia tathmini kuanzia kwako na si hisia tu kuhisi hisi kuna watu wananunua bidhaa kutokana na matangazo kwenye jezi
Angalia maskini wanavyosubiria MO aondoke simba ili wafurahie na kushangiliaHivi nani anayeweza kuvumilia hasara ya B3 kila msimu?[emoji3]
YouSuf?Mtoto wa mmiliki wa Azam lakini ndani ya Simba walimpinga kwa kudai sheria haziruhusu mtu mmoja kumiliki timu mbili ingawa Azam yeye hakuwa mmiliki