Alichokisema MO DEWJI kinaashiria nini?

Alichokisema MO DEWJI kinaashiria nini?

Anataka kusema akitoka tu yeye simba choka mbaya
Ungekuwa unaijua Simba ya miaka ya 1990 mpaka alipoingia Mohammed Dewji k ama mwekezaji ungeelewa.
1. Tangu Azim Dewji miaka ya mwanzoni mwa 1990, Simba haijawahi kuwa na hela zake yenyewe zaidi ya ufadhili.
2. Alipotoka Azim Dewji, simba ilipita katika kipindi kigumu sana.
3. Baadaye akaja Kassim Dewji na Friends of Simba
4. Hatimaye MO akaona haitoshi yeye kuwa mfadhili bali awe mwekezaji. Katika uwekezaji huu Simba imeweka jina, Mo Dewji ameweka hela.

Mo anajua anachoongea.
 
Huu ni ujinga unaotokana na wivu wa mtu maskini na fukara.

Sasa kama anapata faida wewe nini kinachokuuma?

Umewahi kununua bidhaa gani ya Mo kwa vile tu umeisoma kwenye jezi za Simba?Ni vizuri kuanzia tathmini kuanzia kwako na si hisia tu kuhisi hisi kuna watu wananunua bidhaa kutokana na matangazo kwenye jezi
Anapata faida kubwa kwenye bidhaa zake kwa kuziuza kwa wingi kupitia kwa mashabiki wa Simba

Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
 
Huu ni ujinga unaotokana na wivu wa mtu maskini na fukara.

Sasa kama anapata faida wewe nini kinachokuuma?

Umewahi kununua bidhaa gani ya Mo kwa vile tu umeisoma kwenye jezi za Simba?Ni vizuri kuanzia tathmini kuanzia kwako na si hisia tu kuhisi hisi kuna watu wananunua bidhaa kutokana na matangazo kwenye jezi
Sawa Barbara!

Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom