Alichokisema MO DEWJI kinaashiria nini?

Simba sc wajiandae na maisha bila Mo, this time is nearby, stay tuned.
 
Je, Simba huenda yakawakuta kama ya Yanga na Manji? Ni suala la muda tu

Mo ndiye:
1. Afisa habari wa timu
2. Mwekezaji
3. Mtendaji mkuu
4. Mwenyekiti wa Bodi
5. Mkurugenzi wa Ufundi.


View attachment 1627024


Hiyo Screenshot iliyoweka ni uongo MO wa simba hajasema maneno hayo.

Labda iwe kuna MO wa utopolo ndiye aliyeyasema hayo maneno.
 

Ungelikuwa wewe ni MO ungeitoa hiyo 20B kwasababu tu unauza Energy Drink iliyoandikwa kwenye Jezi za Simba?
 
Mo ni janja janja sana, iko tumia jina ya simba kupata pesa.

Hizi ndiye akili za Kimaskini! Pesa gani anayoipata Simba ambayo inaweza kusajili wachezaji na kulipa Mishahara na faida ya kupata MO?
Hata Jezi Original washabiki wanashindwa kununua na kuishia kununua za Wamachinga za Buku 10 halafu MO ajipatie pesa?
 
Mie nachotaka kujua Simba ikiwa nje ya ufadhili haitengenezi faida hata kidogo!? Gate collections, Simba date, Merchandise!?

Kama haipati faida hata kidogo, SSB na Azam FC what's what!? Anafanya Timu kama pet au kuna faida anaipata kupitia timu (Financially)!?

Duniani Ikumiliki Kilabu kuna faida au ni hasara tu!? Nataka nijue the likes za akina Abrahamovic na Wengine wanafuata nini kwenye sports Ventures..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Achana na story za vijiweni wewe nani akatie mzigo simba, huyo mo anafanya yote hayo sio kwaajili ya biashara tu kuna mapenzi ndani yake
 
Mpira ni kama biashara nyingine kuna faida na hasara, kwahiyo wapo wanaopata faida na wapo wanaopata loss
 
Mpira ni kama biashara nyingine kuna faida na hasara, kwahiyo wapo wanaopata faida na wapo wanaopata loss
Wanaopata hasara wanaendelea kung'ang'ania kote duniani!? Au ni hapa tu Tanzania!

Maana If you are making Losses with no hope for better future ... You sgould quit right!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mudi Anapata faida na ndio maana alifunga bakuli alipokuwa anakuja simba... Sasa keshawakamata.. kaondoa watu objective kabakisha waonamlamba makalio.. ndio anaanza Figisu..

Unfortunately, Simba kujiondoa kwenye huu mtego means going all the way to the ocean floors then rebuilding. Ila more ni kichomi cha hernia... Tutaugulia mpk tukome.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…