Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, Simba huenda yakawakuta kama ya Yanga na Manji? Ni suala la muda tu
Mo ndiye:
1. Afisa habari wa timu
2. Mwekezaji
3. Mtendaji mkuu
4. Mwenyekiti wa Bodi
5. Mkurugenzi wa Ufundi.
View attachment 1627024
Kuna tatizo kubwa sana kwa mashabiki wa soka la Tanzania, ikitokea ukaanzisha mjadala wa kuilenga timu moja wapo watakuponda kwamba wewe ni upande fulani.
Ila ukweli ni kwamba MO hataitoa hiyo B20 maana ni mswahili swahili sana, ikitokea wametolewa mapema CCL na wanigeria ndiyo tutajua
Mo ni mswahili sana asingekuwa na pesa angekuwa dalaliJe, Simba huenda yakawakuta kama ya Yanga na Manji? Ni suala la muda tu
Mo ndiye:
1. Afisa habari wa timu
2. Mwekezaji
3. Mtendaji mkuu
4. Mwenyekiti wa Bodi
5. Mkurugenzi wa Ufundi.
View attachment 1627024
MO anaidhalilisha sana simba.
Mo ni janja janja sana, iko tumia jina ya simba kupata pesa.
Mie nachotaka kujua Simba ikiwa nje ya ufadhili haitengenezi faida hata kidogo!? Gate collections, Simba date, Merchandise!?Ungekuwa unaijua Simba ya miaka ya 1990 mpaka alipoingia Mohammed Dewji k ama mwekezaji ungeelewa.
1. Tangu Azim Dewji miaka ya mwanzoni mwa 1990, Simba haijawahi kuwa na hela zake yenyewe zaidi ya ufadhili.
2. Alipotoka Azim Dewji, simba ilipita katika kipindi kigumu sana.
3. Baadaye akaja Kassim Dewji na Friends of Simba
4. Hatimaye MO akaona haitoshi yeye kuwa mfadhili bali awe mwekezaji. Katika uwekezaji huu Simba imeweka jina, Mo Dewji ameweka hela.
Mo anajua anachoongea.
Achana na story za vijiweni wewe nani akatie mzigo simba, huyo mo anafanya yote hayo sio kwaajili ya biashara tu kuna mapenzi ndani yakeMo anajua kuna watu wanaikodolea macho Simba, wakati wa mchakato wa ubinafusishaji Simba kuna watu walitaka kutoa zaidi ya alichotoa na kujenga uwanja juu lakini walishindwa kwa sababu mo alishajitengenezea mazingira siyo kweli akitoka Simba itatetereka
Mpira ni kama biashara nyingine kuna faida na hasara, kwahiyo wapo wanaopata faida na wapo wanaopata lossMie nachotaka kujua Simba ikiwa nje ya ufadhili haitengenezi faida hata kidogo!? Gate collections, Simba date, Merchandise!?
Kama haipati faida hata kidogo, SSB na Azam FC what's what!? Anafanya Timu kama pet au kuna faida anaipata kupitia timu (Financially)!?
Duniani Ikumiliki Kilabu kuna faida au ni hasara tu!? Nataka nijue the likes za akina Abrahamovic na Wengine wanafuata nini kwenye sports Ventures..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama anapata faida,mwambie Mo aende aokote chupa zake za MO Energy huko mtaani maana hata wale waokota makopo hawayaokoti yanachafua mazingira.Anapata faida kubwa kwenye bidhaa zake kwa kuziuza kwa wingi kupitia kwa mashabiki wa Simba
Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
Wanaopata hasara wanaendelea kung'ang'ania kote duniani!? Au ni hapa tu Tanzania!Mpira ni kama biashara nyingine kuna faida na hasara, kwahiyo wapo wanaopata faida na wapo wanaopata loss
Hizi timu zinachezewa sanaJe, Simba huenda yakawakuta kama ya Yanga na Manji? Ni suala la muda tu
Mo ndiye:
1. Afisa habari wa timu
2. Mwekezaji
3. Mtendaji mkuu
4. Mwenyekiti wa Bodi
5. Mkurugenzi wa Ufundi.
View attachment 1627024
Wizi mtupuWanaopata hasara wanaendelea kung'ang'ania kote duniani!? Au ni hapa tu Tanzania!
Maana If you are making Losses with no hope for better future ... You sgould quit right!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hajanunua hisa Simba jamaaniBil. 3 zinatumika kila mwaka, piga mahesabu tokea aliponunua hisa za Simba mpaka sasa
Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
Mbona hisa 51% hatujauziwa tunaotaka kununuaHajanunua hisa Simba jamaani
Tofauti ni nyingi sana.Mo hana tofauti na Mwinyi Zahera
Hakuna mtu anayejua pesa kama mfanyabiasharaAchana na story za vijiweni wewe nani akatie mzigo simba, huyo mo anafanya yote hayo sio kwaajili ya biashara tu kuna mapenzi ndani yake