Alichokisema MO DEWJI kinaashiria nini?

Alichokisema MO DEWJI kinaashiria nini?

Kuna tatizo kubwa sana kwa mashabiki wa soka la Tanzania, ikitokea ukaanzisha mjadala wa kuilenga timu moja wapo watakuponda kwamba wewe ni upande fulani.

Ila ukweli ni kwamba MO hataitoa hiyo B20 maana ni mswahili swahili sana, ikitokea wametolewa mapema CCL na wanigeria ndiyo tutajua
Sasa si hela yake. Akiamua atatoa asipo hamua atoi. Usifanye lama deni unamdai wkt pesa yake.
Kama vip tafuteni zenu... sio kung'ang'ania za mo.
 
Back
Top Bottom