Alichokisema Papy Kabamba Tshishimbi Kuhusu Kugoma

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
Tshishimbi ambaye ni raia wa DR Congo alisema: “Hao wanaosema nimegoma wana msongo wa mawazo, nigome sasa wakati mambo mazuri, kama kugoma ningegoma huko nyuma mambo yalipokuwa hovyo, nilikuwa naumwa na sasa naanza kurejea kwa maelekezo ya madaktari.”

Source: Mwanaspoti
 
Tatizo la mikia kutunga story,wameanza kuweweseka mapema kabla ya tar 12
Mikia wanafuata utumbo wa Haji. Juzijuzi alikandia Yanga kupanda bus zaidi ya Km 300. Leo hii, Mikia wamepanda bus kwenda Mtwara zaidi ya Km 300.
 
Tshishimbi na Morison hawajaenda na timu mwanza kwa mujibu wa kocha wanamalizia matatizo yao binafsi utopolo tatueni matatizo yen sio kusingizia Simba
Mlivyo na akili ndogo ss hao wanawasubiri nyie km huamini subiri tarehe 12
 
Mikia wanafuata utumbo wa Haji. Juzijuzi alikandia Yanga kupanda bus zaidi ya Km 300. Leo hii, Mikia wamepanda bus kwenda Mtwara zaidi ya Km 300.
Nakubaliana na wewe Dar to Lindi km 459, lakini hilo limepangwa kimkakati zaidi ili kuzidi kuitaingaza/kuikuza brand ya Simba watakapokuwa wanarejea na kombe na watapata wateja wegi zaidi wa kadi za Equity. Hii huwezi kuifananisha hata kidogo na safari Yanga kwenda Shinyanga Km 1,000 kwa basi.
 
Bench mark ni Km 300.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…