- Thread starter
- #21
yaani nimeshangaa ametoa wapi!
Umesoma subject, ukasikiliza clip na kuona analysis?
Mods wanafyekelea mbali mada ambazo zinakosa consistent baina ya subject na contents.
Lumumba poleni sana kwani inafahamika kuwa machungu mnayoyapitia ni zaidi ya msiba wenyewe.