Pre GE2025 Alichokisema Rais Samia kuhusu maslahi ya waalimu ni anamaanisha au ndio sarakasi za kampeni?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana

==============================================

Akizungumza wakati wa kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023, Rais Samia Suluhu Hassan amesema maboresho hayo yanatakiwa kuendana na mazingira ya Walimu kuboreshwa na kuwa Serikali itapitia maslahi ya Kada ya Walimu

-
 
Akili za kuambiwa, changanya na za kwako. Kumbuka huu ni mwaka wa uchaguzi huu! Na walimu ni jeshi kubwa. Wakiamua kumwaga sumu, kila sehemu itaenea. Ni vile tu wengi wao hawajielewi.
 
Kwani walimu pekee ndio Wana Maslahi duni? Kwangu Mimi Haina maana Kwa sababu Watumishi wengine Wana Hali mbaya kimaisha kuliko.walimu ambao Wana salary nzuri
 
Hebu taja profession kutoka serikalini ambayo watu wanalipwa kidunchu kama walimu.

Zingatia neno "Profession"
 
Tokea nikiwa mdogo nasoma naskia ahadi kwa walimu, na hazijawa hadi leo.

Naamini na hili halitakuwa, ni maneno ya mdomoni tu.

Cha kushangaza hata mwasisi wa CCM alikuwa Mwalimu ila CCM ya sasa ni kama hawawaoni
 
We acha! Kuna sarakasi zingine ngumu sana, zipo Tz tu. Badiliko mhumu la mtaala wa elimu, eti wanaouweka katika matendo (walimu) juzi juzi walipewa semina ya siku mbili kwa malipo jumla sh elfu tisa. Hiyo sarakasi ukiitazama unapata "kizungu zungu".
 
Akili za kuambiwa, changanya na za kwako. Kumbuka huu ni mwaka wa uchaguzi huu! Na walimu ni jeshi kubwa. Wakiamua kumwaga sumu, kila sehemu itaenea. Ni vile tu wengi wao hawajielewi.
Hawajielewi wakati kila siku mnalalamikia kuwa walimu ndio wanawasaidia CCM kubaki madarakani? Yaani mnaojielewa mnazidiwa ujanja na wasiojielewa?
 
Wakuu,

Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana

==============================================

Akizungumza wakati wa kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023, Rais Samia Suluhu Hassan amesema maboresho hayo yanatakiwa kuendana na mazingira ya Walimu kuboreshwa na kuwa Serikali itapitia maslahi ya Kada ya Walimu

-
Ccm ni walaghai sana
 
Hebu taja profession kutoka serikalini ambayo watu wanalipwa kidunchu kama walimu.

Zingatia neno "Profession"
Wewe ni mjinga,Kwa taarifa Yako walimu wenye level sawa na Watumishi wengine wanalipwa vizuri kuliko hao kada zingine.

Watumishi wa taasisi zingine wanapunjwa Kwa visingizio vya posho ambazo Hazina uhakika .Mwalimu mwenye Diploma ana salary kubwa kuliko Technician mwenye diploma nk
 
Sasa matusi ya nini bwana chawa? Punguza hasira kula tikiti tuendelee kujadili.

Unaposema Technician, ni technician wa nini? Na analipwa shingapi?
 
Huwa nakereka sana napoona watu wanawatetea walimu na kubagua Watumishi wengine wakati kiuhalisia walimu wako cared sana na Serikali.

Harafu walimu hao hao licha ya kufanya kazi masaa machache Kwa siku Wana likizo na siku kibao ambazo hawaendi shule,Kila siku wao wanafunga shule 4 times Kwa mwaka Bado weekend ,Bado public holidays Bado likizo nk.

Mwalimu ndio mtumishi anaefanya kazi siku chache kuliko wengine
 
walimu,polisi,watumishi,wakulima,wajinga,wasanii,chawa ni chambio la 2025 kwa sasa.
 
Wakuu,

Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana

==============================================

Akizungumza wakati wa kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023, Rais Samia Suluhu Hassan amesema maboresho hayo yanatakiwa kuendana na mazingira ya Walimu kuboreshwa na kuwa Serikali itapitia maslahi ya Kada ya Walimu

-
Acheni kuweweseka.Mama anawaandalia "pekeji"!
 
"Walimu zawadi zenu oh, nimezificha moyoni,
Nadhani mtazimia siku mkizitia machoni,
We acha tu! Mtafurahi nyinyi,
Ila hapo hapamfai mtu mwingine niwekeni mimi,
By the way, polisi wote mi' nawasifu,
Jinsi mnavyokwenda sahani moja na wahalifu...."
 
Wakuu,

Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana

==============================================

Akizungumza wakati wa kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023, Rais Samia Suluhu Hassan amesema maboresho hayo yanatakiwa kuendana na mazingira ya Walimu kuboreshwa na kuwa Serikali itapitia maslahi ya Kada ya Walimu

-
Walimu igeni mfano wa wanasheria. Nyie huwa mnatuangasha sana. Pambaneni na Hali zenu fyuuuu
 
Back
Top Bottom