Wakuu,
Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana
==============================================
Akizungumza wakati wa kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023, Rais Samia Suluhu Hassan amesema maboresho hayo yanatakiwa kuendana na mazingira ya Walimu kuboreshwa na kuwa Serikali itapitia maslahi ya Kada ya Walimu
-
Kwani walimu pekee ndio Wana Maslahi duni? Kwangu Mimi Haina maana Kwa sababu Watumishi wengine Wana Hali mbaya kimaisha kuliko.walimu ambao Wana salary nzuriWakuu,
Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana
==============================================
Akizungumza wakati wa kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023, Rais Samia Suluhu Hassan amesema maboresho hayo yanatakiwa kuendana na mazingira ya Walimu kuboreshwa na kuwa Serikali itapitia maslahi ya Kada ya Walimu
-
Kwani walimu pekee ndio Wana Maslahi duni? Kwangu Mimi Haina maana Kwa sababu Watumishi wengine Wana Hali mbaya kimaisha kuliko.walimu ambao Wana salary nzuri
Hawajielewi wakati kila siku mnalalamikia kuwa walimu ndio wanawasaidia CCM kubaki madarakani? Yaani mnaojielewa mnazidiwa ujanja na wasiojielewa?Akili za kuambiwa, changanya na za kwako. Kumbuka huu ni mwaka wa uchaguzi huu! Na walimu ni jeshi kubwa. Wakiamua kumwaga sumu, kila sehemu itaenea. Ni vile tu wengi wao hawajielewi.
Ccm ni walaghai sanaWakuu,
Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana
==============================================
Akizungumza wakati wa kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023, Rais Samia Suluhu Hassan amesema maboresho hayo yanatakiwa kuendana na mazingira ya Walimu kuboreshwa na kuwa Serikali itapitia maslahi ya Kada ya Walimu
-
Wewe ni mjinga,Kwa taarifa Yako walimu wenye level sawa na Watumishi wengine wanalipwa vizuri kuliko hao kada zingine.Hebu taja profession kutoka serikalini ambayo watu wanalipwa kidunchu kama walimu.
Zingatia neno "Profession"
Wewe ni mjinga,Kwa taarifa Yako walimu wenye level sawa na Watumishi wengine wanalipwa vizuri kuliko hao kada zingine.
Watumishi wa taasisi zingine wanapunjwa Kwa visingizio vya posho ambazo Hazina uhakika .Mwalimu mwenye Diploma ana salary kubwa kuliko Technician mwenye diploma nk
Huwa nakereka sana napoona watu wanawatetea walimu na kubagua Watumishi wengine wakati kiuhalisia walimu wako cared sana na Serikali.Sasa matusi ya nini bwana chawa? Punguza hasira kula tikiti tuendelee kujadili.
Unaposema Technician, ni technician wa nini? Na analipwa shingapi?
Acheni kuweweseka.Mama anawaandalia "pekeji"!Wakuu,
Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana
==============================================
Akizungumza wakati wa kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023, Rais Samia Suluhu Hassan amesema maboresho hayo yanatakiwa kuendana na mazingira ya Walimu kuboreshwa na kuwa Serikali itapitia maslahi ya Kada ya Walimu
-
Walimu igeni mfano wa wanasheria. Nyie huwa mnatuangasha sana. Pambaneni na Hali zenu fyuuuuWakuu,