Alichokisema Wema Sepetu akiwa Polisi, leo kasahau yote

Nimecheka sana kwa ukweli wako mchungu ambao najua wapo wenye uchambuzi mkubwa watakubaliana nawe 100% na wale wakina jingalao hawatakuelewa.
Kwamba TOFAUTI YA MAKONDA NA WEMA KAMA IPO NI NDOGO SANA. (kwa nyongeza yangu tofauti hiyo yaweza kuwa jinsia tuu)
 
Hana jinsi aende akatembeze "k" lumumba ili aendelee kubakia mjini. Alafu bashite anatumia nguvu nyingi ili kujishawishi kuwa yeye ni "mwanaume". Mwanaume halisi huna haja ya kufanya chochote ili uwe mwanaume!!
Ha ha ha! Hajui kuwa Mwanamume machine sio cheo! Kama ni cheo Samia angeitwa mwanaume tena wa shoka.
 
Umenena Mkuu
Wengi wanababaika na kizungu chake lakini IQ capacity yake ni very low
Huwezi mtu ukayumbishwa kama piya bila kujielewa
Kwa ufupi hajitambui
Ataishia kuwa chakuraaaaa ya nanihinoo
Ni kweli ni ukahaba na kupenda umaarufu ndio Kuna msumbua maisha yake yote.
Ukiangalia historia yake utaliona hill, akiona mtu wa bongo movie ni maarufu basi ch%py inalegea, bongo flava miguu inachanuka, sijui pedeshee ikulu basi hamuachi na mpaka darasa LA saba Msukuma kuambiwa ana mgodi, anaye!
 
Uko sahihi mkuu ni kweli kabisa
 
Wanachomfanyia sio eti Lemutuzi kubwa jinga anapiga picha akimnyonya denda anazipost kwa kujigamba kwamba wamemuweza
 
I personal,SIONI UMUHIMU WAKE NDANI YA CHADEMA./ its just like a ""KIKARAGOSI""
Kama ulivyosema hana umuhimu wowote ndani ya chadema. Ninachozungumzia ni unafiki wake na mpaka hivi sasa anatayarishiwa conference ya kuongea na waandishi wa habari ili kuikandia chadema pmj na viongozi wake. Toka Wema alivyopata matatizo aliefaidika ni wema. Ila ndiyo hivyo soon anakuja kuwakandania viongozi na wanachama. Waliomsaidia alipokuwa na shida
 
Una tabia za kishoga
 
Jinsia nayo technically ikawa moja imemeza nyenzie na kuwa one! Say one magnet contains two poles i.e south pole and noth pole.
Makonda na wema wanatofautia uzito wa miili yao. Vingine vyote wanalandana!
 
Iq yake ni ndogo kweli hana uwezo wa kufikiria kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hoi thread kituko saaana.sio kwa alieianzisha bali kwa wachangiaji.juzijuzi th walsfia wema ni jembe kahama na followers wake leo eti hana akili [emoji23][emoji23][emoji23]pathetic
 
Acha wivu alikuwa na umuhimu Mkubwa chadema maana hata Mbo....... Macho nane ambaye ni Mkuu chadomo alidata fly to KIA Wema!!!
 
Wema yuko sawa tu,
lazima uwe flexible kwasasa ukishupaza shingo itavunjika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…