Alichokisema Wema Sepetu akiwa Polisi, leo kasahau yote

Alichokisema Wema Sepetu akiwa Polisi, leo kasahau yote

Mkuu upo sahihi tangu namjua wema sepetu binafsi huwa nachukulia kuwa hana AKILI TIMAMU na sio yeye tu hata yule mamake. Nilithibitisha pale mamake alivyomrekodi yule mpuuzi mwingine asiye na akili anayeitwa Steve.huwa siwapendi wasanii wa bongo nikiamini kwamba wana mambo mengi ya kipuuzi lakini wema ni mpuuzi zaidi. Tofauti ya wema na makonda kama ipo ni ndogo mno
Nimecheka sana kwa ukweli wako mchungu ambao najua wapo wenye uchambuzi mkubwa watakubaliana nawe 100% na wale wakina jingalao hawatakuelewa.
Kwamba TOFAUTI YA MAKONDA NA WEMA KAMA IPO NI NDOGO SANA. (kwa nyongeza yangu tofauti hiyo yaweza kuwa jinsia tuu)
 
Hana jinsi aende akatembeze "k" lumumba ili aendelee kubakia mjini. Alafu bashite anatumia nguvu nyingi ili kujishawishi kuwa yeye ni "mwanaume". Mwanaume halisi huna haja ya kufanya chochote ili uwe mwanaume!!
Ha ha ha! Hajui kuwa Mwanamume machine sio cheo! Kama ni cheo Samia angeitwa mwanaume tena wa shoka.
 
Umenena Mkuu
Wengi wanababaika na kizungu chake lakini IQ capacity yake ni very low
Huwezi mtu ukayumbishwa kama piya bila kujielewa
Kwa ufupi hajitambui
Ataishia kuwa chakuraaaaa ya nanihinoo
Ni kweli ni ukahaba na kupenda umaarufu ndio Kuna msumbua maisha yake yote.
Ukiangalia historia yake utaliona hill, akiona mtu wa bongo movie ni maarufu basi ch%py inalegea, bongo flava miguu inachanuka, sijui pedeshee ikulu basi hamuachi na mpaka darasa LA saba Msukuma kuambiwa ana mgodi, anaye!
 
Kuna kitu watu hawajakisoma vyema ukiangalia macho ya Wema.
Wema ana tatizo la akili, au tuseme Wema ana kiwango cha chini sana cha IQ nadhani amejaliwa tuu makalio (kama haitakuwa kazi ya mchina). Huwezi kulinganisha kiwango cha IQ cha Wema hata na yule sijui wanamwita Ebitoke (anisamehe kama nimekosea jina lake) wa komedi.
Uko sahihi mkuu ni kweli kabisa
 
Wanachomfanyia sio eti Lemutuzi kubwa jinga anapiga picha akimnyonya denda anazipost kwa kujigamba kwamba wamemuweza
 
I personal,SIONI UMUHIMU WAKE NDANI YA CHADEMA./ its just like a ""KIKARAGOSI""
Kama ulivyosema hana umuhimu wowote ndani ya chadema. Ninachozungumzia ni unafiki wake na mpaka hivi sasa anatayarishiwa conference ya kuongea na waandishi wa habari ili kuikandia chadema pmj na viongozi wake. Toka Wema alivyopata matatizo aliefaidika ni wema. Ila ndiyo hivyo soon anakuja kuwakandania viongozi na wanachama. Waliomsaidia alipokuwa na shida
 
Anasema alikuwa amjui Bashite ila sasa kamjua na anampenda sana. Nakuuliza wewe Wema umemjua Bashite kwa vile unataka ufutiwe kesi. Kwanini upoteze utu wako kwa tamaa ya pesa. Mbona akina Lulu wako gerezani, mbona akina Winnie Mandela walifungwa. Unashindwa hata kushauriana na mzazi wako. Mpaka mama analalamika kwenye vyombo vya habari. Wakati kesi ilipokuwa hot mama hakulala kwa ajili yako. Na alisema ulimwambia BASHITE anakutaka. Nakukuuliza tena. Hivyo leo umekubaliana na BASHITE?? Wema washukuru CHADEMA kwani bila akina Lisu, Kibatara. Bashite angekufunga na leo hii usingekuwa unayaongea hayo. Bashite alishindwa kukufunga baada ya magwiji wa sheria kuingilia kati kesi yako. Ndio maana ukawa nje hadi leo unamkumbatia BASHITE. Sikiliza haya maneno yako
Una tabia za kishoga
 
Nimecheka sana kwa ukweli wako mchungu ambao najua wapo wenye uchambuzi mkubwa watakubaliana nawe 100% na wale wakina jingalao hawatakuelewa.
Kwamba TOFAUTI YA MAKONDA NA WEMA KAMA IPO NI NDOGO SANA. (kwa nyongeza yangu tofauti hiyo yaweza kuwa jinsia tuu)
Jinsia nayo technically ikawa moja imemeza nyenzie na kuwa one! Say one magnet contains two poles i.e south pole and noth pole.
Makonda na wema wanatofautia uzito wa miili yao. Vingine vyote wanalandana!
 
Kuna kitu watu hawajakisoma vyema ukiangalia macho ya Wema.
Wema ana tatizo la akili, au tuseme Wema ana kiwango cha chini sana cha IQ nadhani amejaliwa tuu makalio (kama haitakuwa kazi ya mchina). Huwezi kulinganisha kiwango cha IQ cha Wema hata na yule sijui wanamwita Ebitoke (anisamehe kama nimekosea jina lake) wa komedi.
Iq yake ni ndogo kweli hana uwezo wa kufikiria kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hoi thread kituko saaana.sio kwa alieianzisha bali kwa wachangiaji.juzijuzi th walsfia wema ni jembe kahama na followers wake leo eti hana akili [emoji23][emoji23][emoji23]pathetic
 
Acha wivu alikuwa na umuhimu Mkubwa chadema maana hata Mbo....... Macho nane ambaye ni Mkuu chadomo alidata fly to KIA Wema!!!
 
Wema yuko sawa tu,
lazima uwe flexible kwasasa ukishupaza shingo itavunjika tu
 
Back
Top Bottom