Alichokisema Wema Sepetu akiwa Polisi, leo kasahau yote

Wao lini walikuambia ana akili? kumtumia mtu kisiasa sio kumaanisha kuwa ana uwezo wa akili.Unadhani Ndugai anavyomtumia Lusinde Bungeni ni kwa vile anaamini ana akili kubwa kuliko Ngeleja?
Lusinde ana akili kubwa kuliko Ngeleja mkuu, sema tu Ngeleja ana vyeti vilivyolimit uwezo wake wa kufikiri!
 
mi nilishaga mjua tu alivyokuwa ananyonywa ndimi na vitoto nikajua tu huyu kilaza huyo demu hata wanaomshabikia ukiwaangalia ndio wale wale
Unakosea sn, mm sio team Wema
Niliuliza swli doogo san
Amepimwa IQ yak au kajuaje?. Kuwa anaLow IQ
 
Mi nilichojifunza ni kuwa.." Atakayebaki chadema hadi baada ya 2020, bac ni shujaa zaidi ya Mandela". Mateso wanayopata wapinzani hivi sasa, hata makaburu wa SA hawakuwafanya hivi wapinzani wao.
Manunuzi yanalenga wachache sio wapiga kura au wafuasi wanaume wanabaki,wavulana na wafanyabiashara lzm waondoke.
 
Mi nilichojifunza ni kuwa.." Atakayebaki chadema hadi baada ya 2020, bac ni shujaa zaidi ya Mandela". Mateso wanayopata wapinzani hivi sasa, hata makaburu wa SA hawakuwafanya hivi wapinzani wao.
Manunuzi yanalenga wachache sio wapiga kura au wafuasi wanaume wanabaki,wavulana na wafanyabiashara lzm waondoke.
 
Ukiwa na matako makubwa akili yote hua inahamia hapo matakon sasa saa ngapi utaweza kufikiria vzuri ilhali umekua unaikalia akili yako????lazima akili iwe na kifafa tuuu,we huon anavyohangaika miaka yote hana mafanikio mpka akafikia hatua ya kuiba umeme na maji huku akidanganya ile nyumba alijenga kwa mil 400 na ushei kumbe kapangishiwa.
 
Tangu malkia wa instagram East Africa Mange Kimambi arejee ,Wema kawa mdogo kama piriton ,anaogopa hata kupost
 
Keshabakia tindi for now the fame is over kiki nazo zinakataa...hana hata nyumba dooo!!!
 
Umenena Mkuu
Wengi wanababaika na kizungu chake lakini IQ capacity yake ni very low
Huwezi mtu ukayumbishwa kama piya bila kujielewa
Kwa ufupi hajitambui
Ataishia kuwa chakuraaaaa ya nanihinoo
Wa kushangaa ni mtu anayemwamini bongo muvi wema
 
Duhhhhhh,noma sana!
 
Nlikua nampenda wema bt kwanzia ahame chadema amenitoka kabsa namuona hana msimamo ni mnafki kipnd yuko chadema alikua anajifanya kumchukia magu mara uchumi umedorora cjui nin sasaiv from no where kampenda ghafla
 
AAAAH WAPI KALIO KAMA BOX HUYU BINT NI BOGAZ PLUS PLUSPLUS
 


Mkono mtupu haulambwi!
 
Ninachoona hapa hakuna hoja. Hii discussion iko biased kwa sababu ya maslahi ya Kisiasa.
Mwacheni aishi maisha yake anayopenda.
Wawawingiani kuku kwenye mavi usiyala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…