Alichokisema Wema Sepetu akiwa Polisi, leo kasahau yote

Alichokisema Wema Sepetu akiwa Polisi, leo kasahau yote

Umenena Mkuu
Wengi wanababaika na kizungu chake lakini IQ capacity yake ni very low
Huwezi mtu ukayumbishwa kama piya bila kujielewa
Kwa ufupi hajitambui
Ataishia kuwa chakuraaaaa ya nanihinoo

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mkuu kizungu cha wema huwa hakijazi mistari miwili wala kufika robo ya karatasi ya A4. Hana ajualo yule mwanamke mwenzetu na umri unazidi kwenda mbele anazidi kuwa na upungufu mkubwa wa akili kichwani
 
IQ inakuwa measured na ndio maana nauliza kwasababu unadeal na cognitive ability.
 
Kuna kitu watu hawajakisoma vyema ukiangalia macho ya Wema.
Wema ana tatizo la akili, au tuseme Wema ana kiwango cha chini sana cha IQ nadhani amejaliwa tuu makalio (kama haitakuwa kazi ya mchina). Huwezi kulinganisha kiwango cha IQ cha Wema hata na yule sijui wanamwita Ebitoke (anisamehe kama nimekosea jina lake) wa komedi.
Sijawahi kuona mwanamke mwenye makalio makubwa mwenye uwezo mzuri wa kufikiri, huwa mara nyingi hutumia makalio kufikiria kuliko akili, hata wakitembea barabarani akili yote ipo kwenye makalio yanaonekanaje, watu wananionaje hasa wanaume? Iwe kazini, harusini hayo ndio mawazo yao.
 
Kuna kitu watu hawajakisoma vyema ukiangalia macho ya Wema.
Wema ana tatizo la akili, au tuseme Wema ana kiwango cha chini sana cha IQ nadhani amejaliwa tuu makalio (kama haitakuwa kazi ya mchina). Huwezi kulinganisha kiwango cha IQ cha Wema hata na yule sijui wanamwita Ebitoke (anisamehe kama nimekosea jina lake) wa komedi.
At one point was your weapon of mass destruction remember[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Got to move beyond that point[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kama ikitokea chama chochote, kiwe cha siasa au cha upatu, kikampoteza mpoteza Shishi Baby, basi hiyo ni hasara kubwa kuliko huyu Wema Sepetu.
 
ile kesi nuksi muacheni tu...
after all lazima ampende DAB sababu anajua jamaa hana 'madahara'!
 
Kuna kitu watu hawajakisoma vyema ukiangalia macho ya Wema.
Wema ana tatizo la akili, au tuseme Wema ana kiwango cha chini sana cha IQ nadhani amejaliwa tuu makalio (kama haitakuwa kazi ya mchina). Huwezi kulinganisha kiwango cha IQ cha Wema hata na yule sijui wanamwita Ebitoke (anisamehe kama nimekosea jina lake) wa komedi.
Kwahiyo wewe una akili kuliko Mbowe na Sumaye!
 
Mi naona ninyi mnaomfuatilia Wema ndio mmechanganyikiwa kabisa...
 
Kwahiyo wewe una akili kuliko Mbowe na Sumaye!
Wao lini walikuambia ana akili? kumtumia mtu kisiasa sio kumaanisha kuwa ana uwezo wa akili.Unadhani Ndugai anavyomtumia Lusinde Bungeni ni kwa vile anaamini ana akili kubwa kuliko Ngeleja?
 
Back
Top Bottom