Alichokitaja Jaji ni Kifungu cha Kufuta Kesi, Mawakili walitaja Kifungu cha Kujibu kama kuna kesi ya kujibu au la!

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Kile Kifungu alichokitaja Jaji katika Sheria ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na yanayofanana na hayo kinatamka kuwa:

"40. Dismissal of charge

At any stage of the proceedings the Court may, if satisfied that the accused person has no case to answer, dismiss the charge and acquit the accused person"

Kwa namna Kifungu hicho kinavyosomeka je hiyo Tarehe 18 Februari, 2022 Jaji amejielekeza kufuta hiyo kesi?
 
Kuamua kutoa maamuzi ya page 1500 in two days should give you the answer! Wamemuinua Mbowe bila sababu
 
Kama page mbili za wateule 120 tu zinawashinda watu kiasi cha kurudia rudia majina mara mbili ndo ataweza jaji kusoma pages 1500 kwa siku mbili, kufanya referencing na kuamua kesi? Hasa kwa sisi waaafrika? Ridiculous!
 
Maana yake Ni kwamba ana maamuzi ya kumwachia Mbowe! Sema tu akili yako nzito!

Angekuwa anamshikilia angeitaji Mda mrefu Sana kukwepesha lawama, Ila sababu anamwachia, hana sababu!
 
What if kama ameamua kutomwachia huo ushahidi akausoma vizuri wakati wa utetezi? Mimi nawewe nani ana akili nzito?
 
Haya akili yangu nzito kweli kweli!
 
Kile Kifungu alichokitaja Jaji katika Sheria ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na yanayofanana na hayo kinatamka kuwa:

"40. Dismissal of charge

At any stage of the proceedings the Court may, if satisfied that the accused person has no case to answer, dismiss the charge and acquit the accused person"

Kwa namna Kifungu hicho kinavyosomeka je hiyo Tarehe 18 Februari, 2022 Jaji amejielekeza kufuta hiyo kesi?
 
Si usubiri tu hiyo tarehe mkuu...itafika tu
 
What if kama ameamua kutomwachia huo ushahidi akausoma vizuri wakati wa utetezi? Mimi nawewe nani ana akili nzito?
Kwa neno KAMA wewe unazo, ila hilo neno KAMA likiondoka, utakuwa huna mazee
 
Maana yake Ni kwamba ana maamuzi ya kumwachia Mbowe! Sema tu akili yako nzito!

Angekuwa anamshikilia angeitaji Mda mrefu Sana kukwepesha lawama, Ila sababu anamwachia, hana sababu!
Njoo tena urejee... kisha unambie mimi nawewe nani ana akili nzito.
 
Back
Top Bottom