Unasema?Kuamua kutoa maamuzi ya page 1500 in two days should give you the answer! Wamemuinua Mbowe bila sababu
Unasema?
Kama page mbili za wateule 120 tu zinawashinda watu kiasi cha kurudia rudia majina mara mbili ndo ataweza jaji kusoma pages 1500 kwa siku mbili, kufanya referencing na kuamua kesi? Hasa kwa sisi waaafrika? Ridiculous!Kuamua kutoa maamuzi ya page 1500 in two days should give you the answer! Wamemuinua Mbowe bila sababu
Kama page mbili za wateule 120 tu zinawashinda watu kiasi cha kurudia rudia majina mara mbili ndo ataweza jaji kusoma pages 1500 kwa siku mbili, kufanya referencing na kuamua kesi? Hasa kwa sisi waaafrika? Ridiculous!
Hope is a very good breakfast, but then it's a poor supperMaana yake Ni kwamba ana maamuzi ya kumwachia Mbowe! Sema tu akili yako nzito!
Angekuwa anamshikilia angeitaji Mda mrefu Sana kukwepesha lawama, Ila sababu anamwachia, hana sababu!
What if kama ameamua kutomwachia huo ushahidi akausoma vizuri wakati wa utetezi? Mimi nawewe nani ana akili nzito?Maana yake Ni kwamba ana maamuzi ya kumwachia Mbowe! Sema tu akili yako nzito!
Angekuwa anamshikilia angeitaji Mda mrefu Sana kukwepesha lawama, Ila sababu anamwachia, hana sababu!
Haya akili yangu nzito kweli kweli!Maana yake Ni kwamba ana maamuzi ya kumwachia Mbowe! Sema tu akili yako nzito!
Angekuwa anamshikilia angeitaji Mda mrefu Sana kukwepesha lawama, Ila sababu anamwachia, hana sababu!
Be careful usijeukaishia kwenye total disappointment
What if kama ameamua kutomwachia huo ushahidi akausoma vizuri wakati wa utetezi? Mimi nawewe nani ana akili nzito?
Very few of the Nyumbu's will understand this [emoji106]Hope is a very good breakfast, but then it's a poor supper
Kwa neno KAMA wewe unazo, ila hilo neno KAMA likiondoka, utakuwa huna mazeeWhat if kama ameamua kutomwachia huo ushahidi akausoma vizuri wakati wa utetezi? Mimi nawewe nani ana akili nzito?
Njoo tena urejee... kisha unambie mimi nawewe nani ana akili nzito.Maana yake Ni kwamba ana maamuzi ya kumwachia Mbowe! Sema tu akili yako nzito!
Angekuwa anamshikilia angeitaji Mda mrefu Sana kukwepesha lawama, Ila sababu anamwachia, hana sababu!
Nilisema kwenye huu uzi watu wasije wakaishia kwenye great disappointment.Njoo tena urejee... kisha unambie mimi nawewe nani ana akili nzito.
Njoo tena urejee... kisha unambie mimi nawewe nani ana akili nzito.