FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Kisa mna mzungu.Mkafie uwanjani maana safari hii raundi ya kwanza chali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa mna mzungu.Mkafie uwanjani maana safari hii raundi ya kwanza chali
Alafu iweje?Kunyweni sumu mfe
Mpate pumziko la mileleAlafu iweje?
Fanya mpango upate ata kiamsha kinywa mkuu....usije ukazidiwa.Mpate pumziko la milele
Hapa nina Black Label saizi 750ml na mbavu za kitimoto kilo moja karibu dogo maisha yenyewe mafupi hayaFanya mpango upate ata kiamsha kinywa mkuu....usije ukazidiwa.
Ukimaliza...njoo utoe maoni yako mkuu...nafkiri akili itakuwa imekaa sawa.Hapa nina Black Label saizi 750ml na mbavu za kitimoto kilo moja karibu dogo maisha yenyewe mafupi haya
Hayo yote naandika nikiwa hapa nakupa location chukua Bolt uje nitalipaUkimaliza...njoo utoe maoni yako mkuu...nafkiri akili itakuwa imekaa sawa.
Ngoja nimalize safari yangu kubwa ya moto.Hayo yote naandika nikiwa hapa nakupa location chukua Bolt uje nitalipa
Alafu wewe ndo pumba yenyeweukiona alichoandika jamaa ni pumba ujue wewe ni kuku.
We Binti una mdomo mrefuKwa wapenzi na wadau wote wa soka habari za wakati huu nawasalimu kwa jina la tozo na makato yaendelee.
twende kwenye mada:–
Manara ni mtu mmoja mbinafsi sana anayeendekeza chuki na visasi kwa mashabiki wa team pinzani au kwa viongozi ambao yeye ana tofauti nao ili aonekane yeye ndo yupo sahihi au anaonewa hata kipindi yupo simba aliwapiga marufuku mashabiki wa yanga wasiingie taifa kwenye mechi za simba ila leo wamesahau na wanamuunga mkono kila kitu anachosema.
Baada ya Manara kupewa adhabu na TFF alitaka kuwaaminisha watu kwamba amepewa adhabu ili kuidhoofisha yanga unajiuliza yeye sio mchezaji wala hayuko katika nafasi za uongozi wa juu sasa kwa nini aseme yanga inataka kudhoofishwa kupitia yeye wakati kipindi yupo simba wananchi walikuwa wanafanya mambo yao wenyewe bila yeye.
Amefanikiwa kueneza chuki kwa mashabiki wa yanga ili waichukue TFF na kweli amefanikiwa kwenye hilo hata akipewa adhabu yeye binafsi ataihusisha na yanga hata kama kweli kuna makosa na kila mtu anaona amefanya kama alivyoenda kwenye yanga day wakati anajua kabisa ana adhabu sijui kiburi anatoa wapi yule mtu inawezekana ikawa kweli TFF na yanga wana tofauti ila anachokifanya yeye ni kuongeza tatizo ili TFF ionekane ina makosa kitu ambacho sio sahihi.
Juzi kwenye dirisha la usajili wakati linakaribia kufungwa team ya wanawake ya yanga princess ilikuwa miongoni mwa team ambazo zilikuwa hazija sajili majina ya wachezaji wao na wakakumbushwa kufanya hvyo hapo walikuwa wametega likitokea la kutokea wajifiche kwenye kivuli cha kuonewa na TFF kwa hilo Manara amefanikiwa.
Wachezaji wa yanga wakigeni wanaonekana kwa idadi wamezidi 12 je ni kweli walipeleka jina mapema la mchezaji wanaetaka kumuacha na kumuongeza au hawakuwa na uhakiki wa dili kukamilika na walipogundua wameshindwa wakaamua wajifiche kwenye kivuli cha kuonewa na TFF unajiuliza kwani wao TFF wanafaidika na nini kisinda akisajiliwa au asiposajiliwa kwenye system tatizo la mashabiki wa yanga wanabeba taarifa kama ilivyo kutoka kwa Manara iwe ya propaganda au ya kweli kwa hilo amefanikiwa.
Juzi wamepewa adhabu na TFF ila badala waangalie tatizo la adhabu waliyopewa wakajificha kwenye rafu ya inonga na kuonewa na TFF kitu ambacho Manara ndo anakitaka na ndo kinampa furaha na kwa hilo kweli wamefanikiwa kuwagombanisha na TFF.
Haya mnamuacha nani kati ya wachezaji 13 mnaotaka tifua tifua wawasajili wote kwenye mfumo ili muweze kuwatimia.
NB: Manara alifungiwa kujihusisha na mpira maisha ila karia ndo alimtoa kwenye kifungo hicho kwa hyo kufungiwa hajaanza kufungiwa akiwa yanga ieleweke hvyo ili twende sawa.
Wengi tunataka acheze.Vyovyote itakavyokuwa Kisinda atacheza tu
Haishangazi HAMNAZO, kuona ni PUMBA! Ila wale WAWILI (J.K na Mzee Sunday) wameelewa!Maneno mengi ila pumba tupu
Nyie nyani hela za Simba zinawahusu nini? Mnawashwa saaaana!!!!Mashabiki wa makolo wanawashwa washwa kweli na mambo ya yanga..fatilieni kwanza zile bil 20 za Mo
Mkuu uko poa uko ulipo? Usije ukajinyonga ivi ivi...Hayo yote naandika nikiwa hapa nakupa location chukua Bolt uje nitalipa