Alichonifanyia bi dada niliyekutana naye social network ulikuwa unyama

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,810
Miezi mitatu iliyopita,ulikuwa mwezi wa septemba mwaka 2018 katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na bi dada,tukabadilishana namba tukawa tunachart......kupigiana sim kila mara...baby umekula,unafanya nini,njoo tulale...nakadhalika na kadhalika

Baadaye nikamwambia naomba nije kukusalimia......bi dada akakubali,basi nikafungasha safari km 800 kumsalimia...siyo siri alinipokea kwa furaha pale stend hadi kuni-hug.....nikasuzika moyo nikafikiria leo nitaenjoy....


Ilipofika muda wa jioni.....nikadhani nitalala na bi dada anitoe uchovu loh!
Mambo yakabadilika,bi dada akasimama na msimamo kuwa siku ya kwanza asingelala na mimi,niende kulala mwenyewe lodge au aniachie chumba chake nilale.....siyo siri nilichoka akili,nikajiuliza nitawezaje kulala mwenyewe na huku tukiwa tunachart na bi dada huwa tunachart mpaka morning glory, iweje leo anikatae tusilale pamoja?......siyo siri niliona bora nikalale kusikojulikana

Bi dada nimeuona uzi wako ukidai kwa nini sikuvumilia....lakini sikuweza kuvumilia kwa sababu kabla ya kuja kwako ulikubali kuwa tungelala kitanda kimoja hata kama tusinge-du siku hiyo...pia nilihitaji tupige stori usiku ule ningewezaje kulala mwenyewe bi dada???

Wanawake muwe na huruma....angalia safari aliyotembea kukufuata...muda wake,wanawake wangapi amewaacha kwa kila mita 100 ni zaidi ya 300, pesa alizotumia halafu anafika kwako unamchenjia siyo vizuri,siyo siri usiku ule sikulala,nilikaa stendi mpaka asubuhi nikiwaza dunia inachonitendea



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nitazidi kusema mvumilivu hula mbivu,ila pole na umefanya vibaya kujibu uzi ule ungekaa kimya,wanaume huwa wanakaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajuaje kama wazazi wake wapo kijijini?? unajuaje kama anaendaga mara kwa mara??

kuna strength of the woman halafu kuna power of love hivi vitu vikichanganyika kwa pamoja ndio hivyo tena mtu asikii wala haoni haambiwi pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…