Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nadhani mlikuwa bado hamjakubaliana vizuri, jifunze kuwa papuchi haifuatwi bali inatumiwa nauli + ya kula njiani + ya nguo kujiweka sawa + ya emergency.
Ukisubiri kuombwa madhara yake ndo hayo. Mwanzoni ni lazima ugharamie mkuu.
Si kweli mkuukikiii tu....cosovo ndo huyo huyo cutelove kaja na ID ingine
Ningewezaje kukaa kimya....na huku ulisha haribu kila kitu...jilaum wewe mwenyew kwa kuanzisha uzi humu kuhusu hayo mamboMi nitazidi kusema mvumilivu hula mbivu,ila pole na umefanya vibaya kujibu uzi ule ungekaa kimya,wanaume huwa wanakaa kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
ikitoka nitag mkuu
Miezi mitatu iliyopita,ulikuwa mwezi wa septemba mwaka 2018 katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na bi dada,tukabadilishana namba tukawa tunachart......kupigiana sim kila mara...baby umekula,unafanya nini,njoo tulale...nakadhalika na kadhalika
Baadaye nikamwambia naomba nije kukusalimia......bi dada akakubali,basi nikafungasha safari km 800 kumsalimia...siyo siri alinipokea kwa furaha pale stend hadi kuni-hug.....nikasuzika moyo nikafikiria leo nitaenjoy....
Ilipofika muda wa jioni.....nikadhani nitalala na bi dada anitoe uchovu loh!
Mambo yakabadilika,bi dada akasimama na msimamo kuwa siku ya kwanza asingelala na mimi,niende kulala mwenyewe lodge au aniachie chumba chake nilale.....siyo siri nilichoka akili,nikajiuliza nitawezaje kulala mwenyewe na huku tukiwa tunachart na bi dada huwa tunachart mpaka morning glory, iweje leo anikatae tusilale pamoja?......siyo siri niliona bora nikalale kusikojulikana
Bi dada nimeuona uzi wako ukidai kwa nini sikuvumilia....lakini sikuweza kuvumilia kwa sababu kabla ya kuja kwako ulikubali kuwa tungelala kitanda kimoja hata kama tusinge-du siku hiyo...pia nilihitaji tupige stori usiku ule ningewezaje kulala mwenyewe bi dada???
Wanawake muwe na huruma....angalia safari aliyotembea kukufuata...muda wake,wanawake wangapi amewaacha kwa kila mita 100 ni zaidi ya 300, pesa alizotumia halafu anafika kwako unamchenjia siyo vizuri,siyo siri usiku ule sikulala,nilikaa stendi mpaka asubuhi nikiwaza dunia inachonitendea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe...ila niliona Mimi niende pamoja na mambo mengine nihakiki kama yupo alone na free...Mi nadhani mlikuwa bado hamjakubaliana vizuri, jifunze kuwa papuchi haifuatwi bali inatumiwa nauli + ya kula njiani + ya nguo kujiweka sawa + ya emergency.
Bora sasa angeniambia hayo nijue...kuliko kuniacha mwenyewe nikalale Lodge.....Mwenekano ulikuponza ubaya sura ilikuwa haitazamiki alafu pesa nazo huna
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki Kiitikio umeimba vizuri sana.Miezi mitatu iliyopita,ulikuwa mwezi wa septemba mwaka 2018 katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na bi dada,tukabadilishana namba tukawa tunachart......kupigiana sim kila mara...baby umekula,unafanya nini,njoo tulale...nakadhalika na kadhalika
Baadaye nikamwambia naomba nije kukusalimia......bi dada akakubali,basi nikafungasha safari km 800 kumsalimia...siyo siri alinipokea kwa furaha pale stend hadi kuni-hug.....nikasuzika moyo nikafikiria leo nitaenjoy....
Ilipofika muda wa jioni.....nikadhani nitalala na bi dada anitoe uchovu loh!
Mambo yakabadilika,bi dada akasimama na msimamo kuwa siku ya kwanza asingelala na mimi,niende kulala mwenyewe lodge au aniachie chumba chake nilale.....siyo siri nilichoka akili,nikajiuliza nitawezaje kulala mwenyewe na huku tukiwa tunachart na bi dada huwa tunachart mpaka morning glory, iweje leo anikatae tusilale pamoja?......siyo siri niliona bora nikalale kusikojulikana
Bi dada nimeuona uzi wako ukidai kwa nini sikuvumilia....lakini sikuweza kuvumilia kwa sababu kabla ya kuja kwako ulikubali kuwa tungelala kitanda kimoja hata kama tusinge-du siku hiyo...pia nilihitaji tupige stori usiku ule ningewezaje kulala mwenyewe bi dada???
Wanawake muwe na huruma....angalia safari aliyotembea kukufuata...muda wake,wanawake wangapi amewaacha kwa kila mita 100 ni zaidi ya 300, pesa alizotumia halafu anafika kwako unamchenjia siyo vizuri,siyo siri usiku ule sikulala,nilikaa stendi mpaka asubuhi nikiwaza dunia inachonitendea
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kabisa na hawezi kuwa muhusika uliyembania punene Punjabi