Alichonifanyia bi dada niliyekutana naye social network ulikuwa unyama

Mi nitazidi kusema mvumilivu hula mbivu,ila pole na umefanya vibaya kujibu uzi ule ungekaa kimya,wanaume huwa wanakaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningewezaje kukaa kimya....na huku ulisha haribu kila kitu...jilaum wewe mwenyew kwa kuanzisha uzi humu kuhusu hayo mambo

Ungekaa kimya tu...nimeshindwa kuvumilia



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenekano ulikuponza ubaya sura ilikuwa haitazamiki alafu pesa nazo huna
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nadhani mlikuwa bado hamjakubaliana vizuri, jifunze kuwa papuchi haifuatwi bali inatumiwa nauli + ya kula njiani + ya nguo kujiweka sawa + ya emergency.
Kumbe...ila niliona Mimi niende pamoja na mambo mengine nihakiki kama yupo alone na free...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki Kiitikio umeimba vizuri sana.
Naamini ile song ya juzi kati ya yule dada itakuwa imejibiwa.

Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…