Alichonifanyia bi dada niliyekutana naye social network ulikuwa unyama

Poleni sana yamalizeni yaishe inaonekana mnatakana maana bi Dada Jana alisema sio kama hatiki kukupa ila ulikuwa na haraka sana

Gangeni ya yajayo sasa hv zamu ya bi dada kuja kwako ila akija usimgegede bro endelea kuvumilia atakupa tu hakina kazi nyingine hicho zaidi ya hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Cutelove hakumpenda mshikaji ndomana akamtolea nje
 
chart = chat
 
Wazimu tu kukosa papuch ndio kukulaze stendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani kama ulikua kwenye akili yangu. Mimi niliweka gari ya nyumbani mafuta nikaenda sehem kama klm 23 kufata dem. Si mchezo akili yangu ilifanya kazi sana. Kwanza nikamwambia mimi napata muda wa kuja kuanzia saa kumi na moja jioni akasema sawa manake najua nikienda kuna umbali kuanzia ile saa 11 hadi kufika ni mwendo kidogo na muda utakua umesepa sana so itamuwea ngumu kunimbia nirudi.
Kufika akafungua geti nikaingiza gari ndani. Nikaingia ndani tukapiga stori sana ila nikawa najiuza kwanini muda unaenda na hapiki,? Itakuwaje au anajua naondoka? Baadae akaropoka kuna sehem ananipeleka kula samaki mkubwa nikasema yess manake kwenye stori za simu anasikia nikisema napenda samaki wakubwa.
Nikamuuliza kiutani kuwa nitamani anipikie akajibu atanipikia kesho mchana, hapo nikaanza kujipa nafasi ila akawa hataki kunikaribia kabisa kila nikimsogelea kumwonyesha kitu kwenye simu nimtege ananitema.
Akili ikawa inaniuma sana aisee, nikarusha tena mtego kwa kuwa nilikua sitaki kuwa bize na simu usiku ili kuepuka videm vingine visinichek nikamuuliza swali la mtego kuwa niache simu yangu kwenye chaji hapa home au tutabaki huko huko tukienda kula? Akajibu tunarudi kulala hatuwezi kulala huko. Sasa hapo mwanaume nikawa nawaza yale maneno, "TUNARUDI KULALA HATUWEZI KULALA HUKO" nikarudia tena kusema kichwani kwangu TUNA. Maana yake ni wingi yaani mimi na yeye tunarudi na vilevile nikajisemea angekua ananiwekea ngumu angesema ANARUDI sio TUNARUDI. Hapo nikajiwekea nafasi na point kadhaa.
Akili ingine ikaja kuwa naweza kuja kulala kwake asilale na mimi aidha alale chumbani na mimi nilale sebuleni au kinyume chake pia. Kuanzia pale nikawa naangalia udhaifu wa ile nyumba na ni nini anapenda, akawa hana tv na mziki na dem mwenyewe anapenda mziki balaa, nikajiropokea nikirudi kazini keshokutwa nakutumia tv na homethatre akafurahi sana. Kwa kufupisha tuu tulitoka kula na kunywa na tukarudi na nikapiga mzigo ila baada ya kutumia akili nyingi sana manake alikua anagoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Naona mlikuwa mnachat sweet love ila unfortunately akagundua alokuwa anachat naye siku zote hizo ni cosovo lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…