Alichonifanyia bi dada niliyekutana naye social network ulikuwa unyama

Toa darasa labda litaeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ufwala tafuta hela! Ukiwa nazo atakufuata yeye huko km 800! Tena akifika tu anakurukia kutaka mate na ukimfikisha kwako mle hadi asubuhi.

Tukirudi kwenye hii case yako. Huyo binti kakuona ni totauti na matarajio yake. Huenda umechoka kuliko ulivyokua unajidai kwenye simu na chats. So tafuta hela, hela ndo dawa ya matatizo yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo bana. Mi nilikata wiki. Yupo kwangu anapika, anaosha vyombo, ananifunga vifungo vya shati na tai asubuhi naenda job. Narudi na zawadi tunafurahi wakati wa kulala anatupia jeans lake na makorokocho gani sijui. Basi tunakumbatiana mpaka kunakucha. Yalikuwa mateso sana; na baada ya wiki binti wa watu huyoo nikampeleka airport kurudi kwake. Sikuambulia kitu aiseee japo nilimtendea kila kitu kwa heshima na upendo sana. Kumbe ulikuwa ni mtihani!

Alipofika kwake ikapita kama wiki moja hivi nikaambiwa hebu angalia email yako. Kuangalia nikakuta tiketi ya ndege na meseji fupi tu: Tiketi hiyo. Njoo!

Muda ulipofika kweli nilikwenda bila kutegemea lolote lakini siku ile ile kutoka airport kidogo tushindwe hata kufika nyumbani. Binti alikuwa na mcheche mpaka analia eti hajaona mwanaume mvumilivu na aliyemheshimu kama miye. Wiki mbili nilikaa kwake na niliondoka nikiwa nimepungua uzito aisee; na mpaka leo huwa nakiri kuwa those were the best two weeks of my life [emoji16][emoji16][emoji16]

Tendo la ndoa kwa mwanamke mwenye malengo nawe na anayejiheshimu linataka hisia sana; na ni vyema kusubiri mpaka akiwa tayari.
 
Umeandika kweli tupu mie mtu wa malengo naye sipendi ku do naye na akivumilia nitamweshimu na kumpenda daima. Wanaume wanataka kupewa haraka huwa ni tamaa na wengine ukiwapa wanakimbia. So huwa tunapima uvumilivu pia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho unikumbushe na mimi nilete mrejesho wa kile ulichonifanyia[emoji3525]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujue nimekuletea zawadi nyingi sana mrembo ajuza, kesho usitoke nyumbani nakuja tupige zogo kidogo.
 
Ulituma hiyo tv na home theater sasa?...au ilikuwa ni nguvu ya kichwa cha chini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimuoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hii stori ni ya kweli...basi kuna baadhi ya wanaume ni wa ajabu sanaa[emoji15]...mpaka unaandaliwa msosi hutoi hata mia?

Ndo maana demu akamkimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli eti mpaka aombwe hafu ukimuendekeza ndo inakuwa tabia yake. Mimi Kuna mmoja nilimwacha aisee aku do na nauli hakupi aisee nikasema akafie mbele huko. Sasa huyo kaandaliwa na msosi hajiongezi hafu Ana nuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga walivyosema mvumilivu hula mbivu hawakukosea.

Naendelea hapo chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…