Alichonifanyia Trafiki huyu sitasahau

Post jina lake humu tuwapatie PCCB Makao Makuu watamfuatilia.
Cc; RPC Mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Mkuu mimi Imenitokea Wiki iliyopita ila Mimi nilimpa Mtu Lift wakati tu Anaingia kwenye Gari Trafic Akatokea Akaniandikia hapo hapo Faini Lengo La kuandika hapa Nakushauli Nenda Kalipe hilo deni Fastaaa Mimi nilikaa Siku tatu Sijalipa niliandikiwa Elfu Therethini Imagine nakwenda kulipa Eti imepanda imekuwa Elfu therathini na Saba na Mia Tano Hata Lisit ya Malipo ninayo hapa Sema Siwezi iweka kalipe Fasta Please.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi karibuni matrafic wamekuwa hush na waonevu sana na wenye magari, yaani kosa dogo la kuelekezana yeye anakimbilia kukuandikia faini, au hata kukubambikia kosa, me issue km Hy ilinikuta, sema nilikomaa akaona noma, ni wizi wa wazi kbs. Sjui ni nini kinachoendelea kwa hv sasa aisee.

Nahisi Labda hii miradi mikubwa inayoendelea nchini ambayo tunaifanya kwa pesa za ndani Labda itakuwa inachangia Hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnaocomment humu mbona hampo makini?

Jamaa kaandika mwenyewe Tena karudia Mara mbili kuwa tokea ametoka nyumbani hajafunga mkanda na trafik alkuwa anamlazimisha kuwa jamaa kafunga mkanda haujafika kifuani ilihali jamaa mwenyewe alkua hajafunga kabisa mkanda tokea ametoka nyumbani kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…