The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Leo lawama zote zitakuja kwangu...kwanza The secretary nakushauri unyamaze coz kilichokufanya umwambie Remmy simtaki kisa nakupenda nani? We nilikuwa nawewe ili nijapatie walau vijicent ulivyokwapua kwa Bishanga thats why nshakutua pwaaaaaaaa km pishi la mchele niko najiandaa kuhamishia mapenzi kwa Madame B ili ruttashobolwa aonje tamu ya kuchongachonga mdomo. NUKTA.
Hujajibu SWALI LANGU. Wewe. Nawe ulimkubalia Huyo unaemwita sharobaro. Bishanga kasema upendo wake unazidi kukua nami sifanyi ajizi, nalipiza kisasi, ukila vya wenzako ujue na vyako vitaliwa kauli toka kwa mh raisi.
The secretary,don't say i did not warn you!
mara hii ushasahau machungu mliyonipa sio,poa,of course siku zote mla ndizi husahau mwokota maganda ndo hukumbuka. i am still in pain over your betrayal.Ni wapi nilisema I do kwa Erickb52 sijitakii uzima?
Wala sina tatizo we mbebe tu kwa Bishanga wivu sina mkimchoka mtamrudisha
Ni wapi nilisema I do kwa Erickb52 sijitakii uzima?
SL iscaught between a rock and a hard place,kushoto penzi la kweli la nitts kulia dushelele size 12 la Vin Diesel.
Am good enough kipenzi.....wapotea sana siku hizi
Nasibiri kupigiwa hiyo saa nne lol
Mbona sijakupata chipenzi au umebadili namba? Btw, yule jirani alokuwa ananiazima laptop amehama ndo maana siku hizi sitokei sana jukwaani!! LOL
Kipipi mambo?