Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

hata mie nilisikitika sana SL kukumwaga, ama kweli wanawake hawana muamana.

Nimekuona ukanikumbusha enzi zile na mie bado 'virgin' hapa jamvini ndio nahangaika na baba watoto lol

hivi akirudi utampokea?? Ila mke mtamu jamani.
 
Halafu Erickb52 ni sharo fulani hivi anawatesa sana wazee kwa vijana wa chit chat mi hanipati hata kwa kuuza matikiti hawa vijana wa Arachuga tabu tupu hebu ona Arushaone anavyoruka vihunzi
Wee unasema! Umesahau tulivyodhalilishwa humu kwaajili yako.
Wala usijipe shau.....
Nitakukuda ohoooooo bado tuna maumivu
Au untaka umchukue na Nitonye?
 
hata mie nilisikitika sana SL kukumwaga, ama kweli wanawake hawana muamana.

Nimekuona ukanikumbusha enzi zile na mie bado 'virgin' hapa jamvini ndio nahangaika na baba watoto lol

hivi akirudi utampokea?? Ila mke mtamu jamani.

Kanisaliti vibaya sana kumrudisha itakuwa ngumu Konnie
 

Hehehehe .....acha kumdanganya mdogo wako......mwelezee vizuri nini kilitokea manale wakijua vizuri!
 
Wee unasema! Umesahau tulivyodhalilishwa humu kwaajili yako.
Wala usijipe shau.....
Nitakukuda ohoooooo bado tuna maumivu
Au untaka umchukue na Nitonye?

Hahaahahah lol....we Remmy wewe.....mwache amchukue ampoze maumivu ya moyo!
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe nitonye asipojinyonga mwaka huu najinyonga badala yake tehe!

Unajua ulichokuwa unanipa na mimi nilichokuwa nakupa, Vin Diesel kaingia kupitia dirishani kwa kuchungulia vya watu.
 
Last edited by a moderator:
Unajua ulichokuwa unanipa na mimi nilichokuwa nakupa, Vin Diesel kaingia kupitia dirishani kwa kuchungulia vya watu.

Hahahaha...ulichompa hakikumtosha basi...na hapa anapata mpaka anasaza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…